Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,123
Mke wa mtu huyo babuOmmy Dimpoz anafanyabkazi katika makampuni ya GSM kama creative director na ndio maana anaishi vizuri hivyo. Hayo mengine mmeyatoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa mtu huyo babuOmmy Dimpoz anafanyabkazi katika makampuni ya GSM kama creative director na ndio maana anaishi vizuri hivyo. Hayo mengine mmeyatoa wapi?
mme wake ni naniMke wa mtu huyo babu
Una uhakika au stori tu?Mke wa mtu huyo babu
Flower inalipa sanaUtajiri wa Ommy Dimpoz una utata mwingi so usiseme kwamba muziki ndio unamfanya aishi maisha hayo
Ok sawa mkuuMke wa mtu huyo babu
Vanessa Mdee hajapotea bado yuko sanaa, ila kaamua kupumzika na kuishi maisha mengine nje ya Muziki, ila bado umaarufu anao, kazi ingine ya sanaa, na maisha ya ndoa na malezi kwa mtoto.
Ommy Dimpoz yupo sana kwa game, ila now time anatoa hits kwa kwa mpangilio, umaarufu anao, maisha anayoishi hata hao wasanii wengine wanayaona kwa TV km sio kuyasikiliza Redioni,
Labda huyu Baraka DA Prince ndo unaweza sema kapotea.
Nwei naye MBUZI achange katata yake vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kiumbe nitakubonda ujue? Afu kule mbna sioni mambo yako? Uwiiiiih.Ngoja niangalie vzr Id[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kiumbe nitakubonda ujue? Afu kule mbna sioni mambo yako? Uwiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee muongo sanaaa.Nko likizo nmeuza godoro lala chin
Chawa wa Mdee familyVanessa Mdee hajapotea bado yuko sanaa, ila kaamua kupumzika na kuishi maisha mengine nje ya Muziki, ila bado umaarufu anao, kazi ingine ya sanaa, na maisha ya ndoa na malezi kwa mtoto.
Ommy Dimpoz yupo sana kwa game, ila now time anatoa hits kwa kwa mpangilio, umaarufu anao, maisha anayoishi hata hao wasanii wengine wanayaona kwa TV km sio kuyasikiliza Redioni,
Labda huyu Baraka DA Prince ndo unaweza sema kapotea.
Nwei naye MBUZI achange katata yake vizuri.
Jamaa Ana akili ya ziadaKwa elimu ipi aliyonayo!?
Tena ni house maid wa vee, nipo hapa Atlanta namlea buttah.Chawa wa Mdee family
Jamaa Ana akili ya ziada
Elimu siyo kila kitu
Ova