Young Lunya na muonekano mithili ya mrahibu wa dawa za kulevya

Young Lunya na muonekano mithili ya mrahibu wa dawa za kulevya

Rockstar wanataka kazi ,so kujiboost lazima ili atoe vichupa vikali ..

Hii ni dhahania siyo uhalisia .. if so si wampe mdma au any mind altering d afanye kama Mike Posner Kwenye I took a pill in Ibiza nk
 
Sasa kama kaka yake Babuu wa Kitaa anavuta unategemea nayeye asitumie
 
maisha alochagua ndo hayo... aheshimiwe...
 
Huyu kijana ndumu 100% toka kitambo,ila kama kaanza na sembe tena,ni hasara.
Ndumu dogo kaianzaga kwenye kuondoka stres za maisha Kule kiwalani. Huyu dogo ni mtoto wa msanga Kule , ukoo wake ni Lunyalile.

Sina pruf ya uvutaji madawa mana dogo hii sura ya ukoo, ndugu zake wote wako. hivyohivyo
 
Back
Top Bottom