Young Lunya na muonekano mithili ya mrahibu wa dawa za kulevya

Young Lunya na muonekano mithili ya mrahibu wa dawa za kulevya

Kwa wasiomfahamu, Young Lunya Ni Moja ya Rappers wenye flow kali hapa Bongo inayoambatana na unyamwezi mwingi.

Going to the point, Muonekano wa Young Lunya hivi karibuni umekuwa wa kutia Mashaka, Huenda Msanii huyu ana chembechembe za utumiaji wa madawa kutokana na kupoteza muonekano wake wa kijana . Yaani ni kama sura ya uteja inamnyemelea.

Ushauri kama mdau mwenye uzoefu , Jamaa atafute sober house mapema kabla gari halijawaka. Yasije yakatokea kama Ya Chidbenz wadau kama Kalapina walipotutonya kuwa mwana anatumia madawa enzi hizo Chid benz amenawiri kweli, watu wakamjia juu Kalapina kuwa anapotosha,
Ila gari lilipowaka hamna aliyeweza kulizima mpaka leo.

Ni Hayo tu, Anyways Kuna Battle mpya mjini ya Hiphop kati ya msodoki na Lunya🔥

Kama na huyu nae ameanza kutumia itakuwa sasa hao ma young wote ni wabwia unga japo hiyo picha sioni utofauti na tangu nilivyokuwa namuona
 
Huyo kijana kama angekuwa na maradhi ya Sickle cell asingetoboa mpaka age aliyopo hivi sasa. Kwani ana umri gani?! Labda awe ni Carrier wa Sickle cell na Carrier wengi huwa ni wanawake
Nilisikiaga mtoto mwenye sickle cell akitoboa miaka 12 anaendelea fresh tu japo kuumwa umwa hapa na pale hakuishi... prodigy wa mobb deep alifikisha miaka 40 na sickle cell
 
Nilisikiaga mtoto mwenye sickle cell akitoboa miaka 12 anaendelea fresh tu japo kuumwa umwa hapa na pale hakuishi... prodigy wa mobb deep alifikisha miaka 40 na sickle cell
Ww lazima una over 50 na mtoto wq mjini sana
 
Safari za south zile na wale jamaa anaohang nao ni mashaka matupu. Ila kwny game yake anakimbiza si ana tuzo ya TMA yule au?
 
Huyo kijana kama angekuwa na maradhi ya Sickle cell asingetoboa mpaka age aliyopo hivi sasa. Kwani ana umri gani?! Labda awe ni Carrier wa Sickle cell na Carrier wengi huwa ni wanawake
Sio kweli kuna wana wengi tuu wana sickle sell wanatoboa above 25 na zaidi...

Navyoelewa ni kuwa kama ukiwa na Sickle cell unakuwa kuwa in danger under 25, kuliko over 25.
 
Back
Top Bottom