Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
๐ like serious!!! me nataka kumjua huyo aliyemfananisha lunya na ngwair nimfungulie kesi ya jinai dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa rap... ๐ ๐ ๐ ๐๐ฎ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ngoma noma fimbo kama kawaDogo ni mkali bwana ana vitu vyake tofauti.!
Sikiliza ngoma yake mpya ya FIMBO, track kali kachana vizuri na hamna tusi hata moja.!
Hao takatakaMainstream ndiyo inawataka hao wa dizaini hiyo, sio kwamba hawapo kina Nash Mc, Dizasta vina nk.
Rapcha hana ladhaa mzee,Anapewa promo tu ila hafiki kwa rapcha huyo dogo
Yeah ile truck ni kali sana.Dogo ni mkali bwana ana vitu vyake tofauti.!
Sikiliza ngoma yake mpya ya FIMBO, track kali kachana vizuri na hamna tusi hata moja.!
Dogo ana style kali sana... ila kwa lines dogo rapchaNg'ata ung'atwe lianzishe ufuatwe
Wenzako haturembi tunasaka mkate
Baka ubakwe
Umeme ukate
Ushikwe upakatwe..
Uliwe na mate
Bora univunje mguu kuliko kunivunjia heshima...
Akikujibu nitagNani kamfananisha?