Young LUNYA

Young LUNYA

๐Ÿ˜‚ like serious!!! me nataka kumjua huyo aliyemfananisha lunya na ngwair nimfungulie kesi ya jinai dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa rap... ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™Œ๐Ÿšฎ
 
Huyo mpiga kelele simsikilizi kabisa
 
Dogo ni mkali bwana ana vitu vyake tofauti.!

Sikiliza ngoma yake mpya ya FIMBO, track kali kachana vizuri na hamna tusi hata moja.!
Hii ngoma noma fimbo kama kawa
 
Mbn yuko powh use me mtoa mada Cow Obama muache aendelee kupumzika salama.
 
Hana sauti ya kurap, yaani sauti yake haina mamlaka. Hivyo inakua ngumu kuzingatia anachosema/rap. Lakini nahisi wapo wanaomkubali hivyohivyo.
 
Mtakua mna mabifu unataka usikie tunasemaje. Ila napenda flow yake
 
Ng'ata ung'atwe lianzishe ufuatwe
Wenzako haturembi tunasaka mkate
Baka ubakwe
Umeme ukate
Ushikwe upakatwe..
Uliwe na mate

Bora univunje mguu kuliko kunivunjia heshima...
Dogo ana style kali sana... ila kwa lines dogo rapcha
 
Announcement Freestyle ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ as a producer naweza sema melody imekaa mkao sana.
 
Back
Top Bottom