Your boss cannot make you rich

Your boss cannot make you rich

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Wanafamilia habari zenu. Matumaini yangu ni wazima wa afya na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku.

Nikiwa nakaribia kwenda shambani kwani kuvuna cashewnuts nikaona sio dhambi kujaribu ku share na nyinyi hizi taarifa. Ontario amewahi kusema"If you're on rise towards success don't leave other behind, it can be boaring being alone up there".

Kumezuka malalamiko kadhaa kutoka kwa employees wengi kuwa serikali haitaki kuwaongeza mshahara na increments zao. Ni kweli ni haki yao kupata hizo stahiki lakini huwezi kumlazimisha mwajiri/boss wako kukulipa kama unavyotaka wewe.

Employers wengi wanakulipa kidogo ili kesho uende tena kazini wanajuwa wakilipa fedha nyingi unaweza Kudrop kazi. Hivyo ili Kuobey all the rules lazima waajiri wahakikishe their employees hawana financial freedom.

That way si ajabu leo kusikia kauli hizi "Sipandishi mishahara na sitopandisha", "Sikuahidi kupandisha mishahara", "Kama unaona mshahara haukotoshi nenda ukalime".

Hizi ni baadhi ya kauli kutoka kwa waajiri wetu. The Nobel prize winning physist Albert Einsten, The best thinker who ever lives aliwahi kusema "Think is hard work, that's way few people do it". Kauli hizi kutoka kwa waajiri wetu nadhani zinaweza kuwa chachu ya kutupeleka financial freedom.

Author Robert Kiyosaki mwandishi wa kitabu cha cashflow quadrant na rich dad and poor dad katika moja ya nakala zake inasema "Your boss' job is not to make you rich, your boss' job is to make sure you get your paycheck. It is your job to become rich if you want to. And that job begins the moment you you receive your paycheck. If you have poor money management skills, then all the money in the world cannot save you".

Kauli hizi za maboss zetu ziwe kama catalyst za kujiongezea kipato apart from our paycheck.

Forget your enemy but don't forget their name.
 
Sasa tupeane mikakati mizuri ili tuondoke huko kwa mabosi.
Lkn hatuwezi kukurupuka tu na kuacha kazi.
Kikubwa tupeane uzoefu wa namna gani ya kujipanga kabla ya kumkimbia huyo boss.
 
sqala.sio financia ending skill swala je una utayari?
Mkuu kawaida mtu yeyote mwenye kipawa na anatambua kwamba kinaweza kutumika kumuingizia pesa akishapata muono sahihi aanzie wapi, huo utayri utakuja tu. Tofauti na mtu ambae hana kipawa cha aina yoyote ile na kazi anazoweza kufanya ni zile ambazo zinafanywa na wengi, huyu atafanya kazi kwa watu mpaka kufa kwake
 
Watu wanatafuta hela ya mboga tu,we unaongelea rich?
Hapo ndo tatizo lilipo watu wanataka pesa ya kula,kuvaa,matibabu basi hawazi kupata pesa zaidi ya hapo.Ndo maana wanatukanwa na waajiri wao kila siku
 
Hapo ndo tatizo lilipo watu wanataka pesa ya kula,kuvaa,matibabu basi hawazi kupata pesa zaidi ya hapo.Ndo maana wanatukanwa na waajiri wao kila siku
Kamahayo ndiyo maisha wanayoyataka, tatizo liko wapi?
 
Back
Top Bottom