Koment your favorite childhood tuone kama ulikuwa mjanja
rede ya wote chikichaaa kama hutaki sambaaa
Kwahiyo ukawa unaitwa baba usipokuwepo hawachezi...wee nooma asee
Kudinyana kinguonguo...
hili tendo kumbe lina maneno mengi
Najua mambo yako....heheeHewalaaa....hakika wewe umenielewa