Your first love story/first time to approach

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dooh nimemkumbuka huyu binti kigori , macho ya gololi na guu la bia, mweupee daah.

Tulikua tunaandikiana Sana barua na tukitakakukutana basi tunakutana nyumbani kwa rafiki yake maana kwao mzee wake alikua mkali sana halafu mjeshi.

Mwaka uliopita tulikutana mahali ila yeye ndio aliyetangulia kuniona nikasikia tu ile sauti yake taamu ikiniita kugeuka namuona aliyewahi kuwa sabuni yangu ya roho akitabasamu lakini tabasamu lake limepungua makali yake kutokana na umri.

Tulizungumza machache kubadilishana mawasiliano na kuagana.

Huyu binti huyu, daah. Nakumbuka tu namna alivyokuwa akiniimbia huku nimemkumbatia kabla ya kuagana.
 
😁mmeacha kutoa eksipiriensi zenu za kutongoza na kutongozwa kwa mara ya kwanza mmegeukia kusemeana kwa baba yenu...πŸ˜πŸ˜‚βœŒπŸ½πŸšΆπŸšΆπŸšΆ
 
[emoji23][emoji23] Sawa naona mzee umeamua kumwaga mboga mi simwagi ugali isipokuwa tu ukiletewa mimba zisizo na baba hapo ndo utajua Kuna mtu alimwaga na ugali!!.. Sasa jitie udemokrasia uje uone mambo yanavyokugeukia..[emoji23]
Hakuna Mimba isiyo na Baba, wapo wanakimbia majukumu, hivyo ajiandae kulea wajukuu, wakishakua wakubwa na maisha ya kuridhisha Baba zao hujitokeza
 
πŸ™ˆπŸ™ˆ
Ingekuwa vyema Kama usiku huu ningekuwa karibu nawe nikiusabahi mwili wako mzuri kwa miguso chokozi huku ukideka na kuvunga hutaki uchokozi wa fundi maridadi.. nawe ukijiviringisha kama kupenda uchokozi huku ukilegeza tumacho twako kimahaba..😜

Kaubaridi kananione na tu mbu tunanikera sweetie.. usione haya ukaninyima joto lako lenye tashtwitwi na nakshi zenye kumtoa nyoka pangoni..😍😜

Naomba niishie hapo..
 
Hakuna Mimba isiyo na Baba, wapo wanakimbia majukumu, hivyo ajiandae kulea wajukuu, wakishakua wakubwa na maisha ya kuridhisha Baba zao hujitokeza
Kashauli nawewe..πŸ˜…
 
Hahahaha
 
daah πŸ˜‚πŸ˜‚una voco balaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aahaha[emoji28]
 
Bahati hutokea kwa mara moja tu.

Nilijua nampenda na ananipenda sana ingawa mawazo yake ya kuoana ama kuishi pamoja kwangu hayakuako.

Baada ya yeye kumaliza chuo alisisitiza kuwaona wazazi lakini haikua bado akilini sawasawa.

Sasa ana watoto wawili, mie bado namtafuta kama yeye walau kwa sifa na tabia.

Yeye anaishi akilini/moyoni daima.
 
That is Love [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…