Nayokumbuka ni ile ya chuo,japo zilishatokea secondary lakini hii ya first year chuo ndio iko akilini hadi sasa
Nakumbuka mimi ndio nilianza kuchukua namba yake kwa group discussion baada ya kuona ana 'materials' / 'notes' za kila somo,nilikuwa napenda sana shule enzi zile
Nikaanza kuwasiliana nae kwa simu,kitu kizuri zaidi ni kwamba tulijikuta mimi na yeye tunafanana katika baadhi ya mambo kama kuna somo fulani tulipenda wote sanaaaaa,starehe zetu zilikuwa sawa,vyakula!!!badae nikagundua hata ngono tunaipenda kwa kiwango sawa teh!!
Kimsingi kabla hajaniambia tayari nilikuwa nimeshampenda,ni vile tu siwezi kumuanza kumwambia mwanaume nampenda so ilibidi nisubiri aanze
Ikafika siku akaniambia,alivyoniambia nikamzungusha weeeeee as if simtaki eti
Nikamkubali...badae nikaachwa [emoji847][emoji847][emoji847]