Your first love story/first time to approach

Haikua 1st love ila ni mtu ambaye siwezi msahau, alinifundisha mengi mazuri kuhusu maisha.
Nilikutana nae eneo la kazi.... Alikua very handsome na mrefuu alinivutia ila sikuwah kuwish kuwa nae sababu nilijua tu huyu lazima atakua na mambo mengi maana kiukwel alikua na muonekano mzuri sana.

Taratibu akanizoea sana, hiyo siku akaniambia tukitoka job twende upaone napoishi nikamwambia poa. Tukaenda yakatokea yaliyotokea baadae tukaanza mahusiano, nikagundua ni mtu poa sana na hana uhuni kama nilivyomdhania mwanzo.
Tulidumu for 3 good yrs ila too bad we were not meant to be!
Amebaki kuwa rafiki tu sasa
 
Dah mie ilinitokea HV Ila nikaamua kuoa wa jina ambalo linafafa na wangu
 
Unamkumbuka demu wako wa kwanza?
Nilifanya kinguo ,wwnzangu walifanya ukweli.

Mwana FA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…