Your first love story/first time to approach

Your first love story/first time to approach

Haikua 1st love ila ni mtu ambaye siwezi msahau, alinifundisha mengi mazuri kuhusu maisha.
Nilikutana nae eneo la kazi.... Alikua very handsome na mrefuu alinivutia ila sikuwah kuwish kuwa nae sababu nilijua tu huyu lazima atakua na mambo mengi maana kiukwel alikua na muonekano mzuri sana.

Taratibu akanizoea sana, hiyo siku akaniambia tukitoka job twende upaone napoishi nikamwambia poa. Tukaenda yakatokea yaliyotokea baadae tukaanza mahusiano, nikagundua ni mtu poa sana na hana uhuni kama nilivyomdhania mwanzo.
Tulidumu for 3 good yrs ila too bad we were not meant to be!
Amebaki kuwa rafiki tu sasa
 
Bahati hutokea kwa mara moja tu.

Nilijua nampenda na ananipenda sana ingawa mawazo yake ya kuoana ama kuishi pamoja kwangu hayakuako.

Baada ya yeye kumaliza chuo alisisitiza kuwaona wazazi lakini haikua bado akilini sawasawa.

Sasa ana watoto wawili, me bado namtafuta yule atakaribia kwa sifa na tabia pia.

Yeye anaishi akilini/moyoni daima.
Dah mie ilinitokea HV Ila nikaamua kuoa wa jina ambalo linafafa na wangu
 
Unamkumbuka demu wako wa kwanza?
Nilifanya kinguo ,wwnzangu walifanya ukweli.

Mwana FA
 
Back
Top Bottom