- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
Uliachwa bila sababu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliachwa bila sababu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Uliachwa bila sababu?
[emoji847][emoji847]Sababu ilikuwepo
Ok, pole kama ulionewa!Sababu ilikuwepo
Ok, pole kama ulionewa!
Dah mie ilinitokea HV Ila nikaamua kuoa wa jina ambalo linafafa na wanguBahati hutokea kwa mara moja tu.
Nilijua nampenda na ananipenda sana ingawa mawazo yake ya kuoana ama kuishi pamoja kwangu hayakuako.
Baada ya yeye kumaliza chuo alisisitiza kuwaona wazazi lakini haikua bado akilini sawasawa.
Sasa ana watoto wawili, me bado namtafuta yule atakaribia kwa sifa na tabia pia.
Yeye anaishi akilini/moyoni daima.