You're Discriminatory, NHC Tenants Protest... Tanzanian of Asian descent are Unhappy with NHC

You're Discriminatory, NHC Tenants Protest... Tanzanian of Asian descent are Unhappy with NHC

TILL YOU LOSE IT ALL Lyrics LUCKY DUBE

We take a lot of things for granted
One day it' ll be taken away
That's when you'll realize
How important it was
You never miss your water
Till your well runs dry
Give thanks and praise all the time
The wolf is always by the door

Chorus:
You don't know what you've got
Till you lose it all again
You never miss your water
Till your well runs dry

He's a hero, now that he' s dead
preacher man talks about
him
When he was alive
He didn't even know his name
When he was alive
He didn't get this love
You never miss your water
Till your well runs dry

Chorus:
You don't know what you've got
Till you lose it again
You never lose your water
Till your well runs dry
 
Wahindi walijenga Tanzania hawakuenda kujenga India sasa sijui watanzania wanaiba kwanini hawajengi Tanzania au sio sie humu tunalalama kila siku kuna wevi baina yetu na wanajinufaisha kwa rasilimali zetu? refer kutoroshwa kwa wanyama KIA.

Upo sahihi mkuu.
Lakini hiyo inahalalisha uharamu?
 
Nawachukia asians especially wahindi kwa sababu moja tu,'UBINAFSI' yaani wako tayari CCM iendelee kutawala hata miaka Elfu so long inalinda maslahi yao wao ambao ni wachache kwa gharama ya wengi ambao ni maskini
 
  • Thanks
Reactions: DSN
wahindi walijenga tanzania hawakuenda kujenga india sasa sijui watanzania wanaiba kwanini hawajengi tanzania au sio sie humu tunalalama kila siku kuna wevi baina yetu na wanajinufaisha kwa rasilimali zetu? Refer kutoroshwa kwa wanyama kia.

huyu shoshi anaishi bure nhc, ngojeni dawa yenu inachemka, kama mlijua serikali iliyomadarakani ni wevi kwanini huyo sabodo wenu ni kada au anashirikiana nao kutorosha hao wanyama......huko kia
 
Wanachofanya NHC na Sabodo pia anachofanya ni sahihi. Tanzania kwasasa haina utawala wa sheria. Hakuna MC, kila mmoja ana mamlaka ya kuongea anachohisi ni sahihi. Upuuzi mtupu.
 
Why they think NHC are discriminaring them?
This is normal questions,especially when
You want to collect such kind of infomatiom.
I have been in other countries and they
Normally ask the same and no one complain
 
Serikali iweke vigezo itakayovizingatia kugawa Nyumba zake ili kila mtu apate. Tatizo ni kwamba nyumba NHC imekuwa kama mali ya wahindi tu, kiasi kwamba watu wengine ukipata hizo nyumba unaonekana kama mgeni. .
hii ni kweli mimi pia naishi ktk nyumba hizi mpya lakini utasikia wahindi wanakuuliza kama wewe ni Mganda/ Nigeria, nk. Ni aibu. Kwani NHC Haiwezi kutofautisha majina Barjberi na Mapunda? Nyumba zenyewe zinazoitwa JV bei ni mbaya mno. Mbaya sana wamewaachia Hao JV wao kuwatoza wapangaji kiasi cha $ 150 kwa mwezi kama pesa ya huduma kila mwezi mbali na kodi ya kila mwezi. M-tz gani wa kawaida anaweza? Sabodo JUUUUUUUUU
 
Yote haya ni kwa kuwa wanaelewa kwamba nyumba za NHC zilizonyingi zimepangishwa na wadosi! A handful of Tanzanians are occupying NHC Houses.
 
wewe mhindi masalia tu, hata kama Nyerere alizitaifisha kutoka kwenu ndo unataka muishi bureeee. hakuna ukoloni tz ngojeni serikali makini zije madarakani mtatafuta mlango ulipo

Serikali ya kichaga ?
 
Sabodo may be right! Nhc post rob snatched buildings from asians and now they charge high rents...why?
 
KUNA USEMI ULIOENE MTAANI KWAMBA KWAMBA KUWA MTANZANIA MAANA YAKE USIFIKIRIE SANA MADUDU YANAYOFANYIKA HAPA KWETU ZAIDI UWE MTU WA KUPOTEZEA..... LKN WENGINE TUTAENDELEA KUSEMA YA MOYONI.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA HILI LA TANZANIA LINATUMIA FEDHA YA WAVUJA JASHO KUJENGA NYUMBA AMBAZO ILITAKIWA WAPANGISHWE NDUGU ZETU WENYE KIPATO CHA CHINI LKN BADALA YAKE NYUMBA HIZO WANAISHI WAGENI HASA ZILIZO MAENEO YA MJINI AU MAENEO MAZURI YA MIJI YETU KWA BIASHARA NA MAKAZI.

UKIJIULIZA NI KWANINI HUPATI JIBU, INABAKIA KARAHA YA HAWA WAHINDI KUTUTEMEA MATE NA KUTUMWAGIA MAJI MACHAFU WAKIWA HUKO JUU KWENYE MAGHOROFA YETU............ KWA KWELI TUNADHALILISHWA SANA!!!!!!!!!!

HIVI NYUMBA ZA NHC WALIJENGEWA WAHINDI TUUU????? ETI SABODO KAWAMBIA WASIJAZE ASILI YAO!!!!!!!YULE BOSI ALIYEMWAGA MAPESA WAKATI WA UCHAGUZI AMETEMA CHECHE KUHUSU WAO KUTOJAZA ZILE FOMU ZA NHC MJE MUONE SASA JINSI SERIKALI ILIVYOWEKWA MFUKONI NA WENYE NAZO......

"Tayari mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM, Mustafa Sabodo alitoa matangazo kwenye vyombo vya habari akiwataka wapangaji wa NHC kutojaza dodoso zilizotolewa na shirika hilo kutokana na kile alichokiita kukosa uhalali wa kisheria kwa kuuliza maswali ambayo ni ya kibaguzi na kusisitiza: “Hivyo msijaze hizo fomu sababu hawana haki ya kuuliza haya maswali.”

UKILA YA MBUZI UTAOTA MAPEMBE...... MLIKULA ZA WAHINDI MTAOTA UHINDI
Hicho kibabu Sabodo kiache unafiki hakika baniani ni baniani tu,mbona huyo Sabodo hatujawahi kumsikia kuwa watu tusije kipengele kinachotaka kujua rangi huko Mzizima na Shaban Robert secondary na pale Aghakhan hospitali,kwani hao baniani hawezi kuishi huku Madale,Kinyerezi ,Mbagala,manzese na wakajenga nyumba zao kwanini wana ng'ang'ania kwenye NHC,kwanza wao wanauwezo mkubwa kiuchumi na pia hizo jumuia zao zinawezesha tofauti na sisi wamatumbi
 
hao wahindi waende kwao india hizo nyumba ni za kwetu wasilete ujinga wao lazima na sisi tukakae upanga
 
kwanza kabisa NHC wanatakiwa wajue kwa nini wapangaji wa nyumbba za taifa wengi wao ni watanzania wenye asili ya india,,,,sababu nakuambia wahindi wakiona mswahili yuko katika nyumba hizo watafanya kila juhudi kupeleka rushwa za kila aina na majungu shirika la nyumba ili mswahili atolewe na mhindi apewe,wao wanatumia community zao kuhakikisha kila mmoja wao anapata nyumba hata kama kwa kununua toka kwa mswahili wewe fikiria watu wanalipa mpaka 20ml kuipata nyumba hiyo,,ili mradi wewe mweusi utoke akae mhindi,,cha muhimu serikali iangalie imekosea wapi kwa sababu hata wahindi na kina sabodo wakipiga kelele ukweli ni kwamba 90% ya wahindi wanaokaa hapo siyo watu wa kipato cha chini.SERIKALI iTAFAKARI HILI HATA SISI TUNAZITAKA NYUMBA HIZO .
 
Wa-Tanzania wenye "ASILI ya ASIA" ni wabaguzi sana ... Amin alifanya vyema Uganda na hili la NHC limechelewa sana! At some stage lazima tugawane upya keki ya taifa...

SABODO ni mwizi tangia enzi za Mwalimu, lakini naona leo mnamsifia - no wonder hapa Tanzania wezi wanasifiwa sana!

Na hata Mkapa alifanya jambo jema kumpa mmoja wa wazawa kiwanza maeneo ya karibu na ocean road hospital lakini alimuulizia muhindi na huyo huyo alikuwa akilalamika wahindi kupewa maeneo kuyaendeleza.

My take: Bora muhindi anaeiendeleza nchi au mweusi anaemuuzia muhindi pesa kuziweka kusikojulikana? Tafakari kama huna ubongo wa samaki.
 
Mchechu kachemka........alitakiwa asitishe mikataba yote ya pango na kutangaza nyumba ziko vacant watu waombe upya....''the highets bidder to win'' aone
 
-Nadhani NHC wangeweka wazi dhumuni jema la kukusanya tarifa nyeti kama hizo ili kuwatoa watu hofu.. hoja hapa ni utendaji mbovu wa NHC...watendaji kutumia nyumba hizo ka mrija kunyonya hela za hawa wenzetu....wamesigina dhumuni halisi la matumizi wa nyumba hizi...

-UBAGUZI.... wamekuja nayo kwa sababu wao kwa wao wanabaguana mpaka kwenye tamaduni zao.... masikini asia ni masikini daima.. akitaka kutoka lazima aende nje yaasia.. wasitumie hoja ya ubaguzi kama mkuki kwani watainua mjadala wa kitaifa...

-NHC ijirekebishe katika mifumo yake ya ugawaji nyumba na uendeshaji....kwishnehi
 
Back
Top Bottom