Youth Agriculture Movement{YAM}

Youth Agriculture Movement{YAM}

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Habari wadau wote .

Niende moja kwa moja kwnye hoja yangu.

Ukiangalia uwiano kati ya wahitimu wa vyuo vikuu dhidi ya ajira zinazopatikana ,utakuata hakuna kabisa uwiano mzuri,idadi kubwa ya wahitimu hawana ajira ,huku wenye nazo bado mishahara inabaki kua duni na haitoshelezi mahitaji ya mtu. Kiufipi ajira ni Tatizo.

Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa Vijana kubadilika na kuacha kutegemea ajira na badala yake kuwaza njia mbadala zitakazo tukwaumua kiuchumi .

Hivyo basi nimeona si vibaya kupitia JF tukaanziansha movement inayohamasisha Vijana kushiriki katika kilimo.

Katika Movement hii ,tushirikishane jinsi ya kufanya kilimo ikiwa ni pamoja na ufugaji,tupeane uzoefu kwa walioshawahi kushiriki katika kilimo na tuelemishane mbinu mbali mbali ili kufika lengo la kilimo bora .

Hii itasaidia Vijana kujiajiri,kutengeneza ajira na pia kukuza Uchumi.

Karibu wadau na wapenda Maendeleo.
 
Kaka unahitaji wadau kama mimi mpenda maendeleo naam naamini wapo wengine na watafika naam mimi nauza kuku ila mikopo midogomidogo tu ndio naambulia ila unaonaje tukianzosha mradi wa kilimo na ufugaji naam tuchange fasta mikopo ipo katika vikundi njoo tufanye mchakato sasa ....................202/2015
 
Wazo zuri. Bila kukukatisha tamaa napenda kukufahamisha kuwa walioliwaza kabla yako hapa JF wameishafika mbali sana. Waliojikita ktk kilimo cha miti, miti yao ni mikubwa sana leo walioanzisha perennial farming wameaga umaskini. Kwa ufupi huna haja kuanzisha umoja/movement ambayo tayari IPO. Tafuta threads zinazozungumzia Chai Dei au wasiliana na wafuatao: Malila Maskini Jeuri chasha Ericus Kimasha
 
Last edited by a moderator:

Sawa Kaka nakuPM kwa mazungumzo zaidi.
 
Sawa Kaka , unaweza pia ukashare namna ya hao waliofanikiwa hapa .. ! . movement inaanza popote . ww pia unaweza kushare nasi kama una mafanikio yeyote uliyopata ili tufike huko uliko .

Pia mbali na kutafuta thread hiyo ,natumaini kuna wadau wapya watajitokeza ,ili nao siku moja waweE kusema kama ww ," tulianza siku nyingi sasa umaskini tumeuaga"

Ahsante .
 
Last edited by a moderator:
expect my moral and material support especially on poultry venture
 
Habari wadau wote .

Niende moja kwa moja kwnye hoja yangu.

Ukiangalia uwiano kati ya wahitimu wa vyuo vikuu dhidi ya ajira zinazopatikana ,utakuata hakuna kabisa uwiano mzuri,idadi kubwa ya wahitimu hawana ajira ,huku wenye nazo bado mishahara inabaki kua duni na haitoshelezi mahitaji ya mtu. Kiufipi ajira ni Tatizo.

Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa Vijana kubadilika na kuacha kutegemea ajira na badala yake kuwaza njia mbadala zitakazo tukwaumua kiuchumi .

Hivyo basi nimeona si vibaya kupitia JF tukaanziansha movement inayohamasisha Vijana kushiriki katika kilimo.

Katika Movement hii ,tushirikishane jinsi ya kufanya kilimo ikiwa ni pamoja na ufugaji,tupeane uzoefu kwa walioshawahi kushiriki katika kilimo na tuelemishane mbinu mbali mbali ili kufika lengo la kilimo bora .

Hii itasaidia Vijana kujiajiri,kutengeneza ajira na pia kukuza Uchumi.

Karibu wadau na wapenda Maendeleo.

Ndugu yangu hili ni wazo zuri na maridhawa kwa sisi vijana,kilimo ni mkombozi,ila nataka kukuuliza hii movement umeshainzisha au bado ni wazo tu? kuanzisha kwa maana ya kusajiri,tupe maelezo then tujue tunaunganisha vipi nguvu tuingie shambani,Big up kwa kuja na wazo zuri!
 
Habari wadau wote .

Niende moja kwa moja kwnye hoja yangu.

Ukiangalia uwiano kati ya wahitimu wa vyuo vikuu dhidi ya ajira zinazopatikana ,utakuata hakuna kabisa uwiano mzuri,idadi kubwa ya wahitimu hawana ajira ,huku wenye nazo bado mishahara inabaki kua duni na haitoshelezi mahitaji ya mtu. Kiufipi ajira ni Tatizo.

Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa Vijana kubadilika na kuacha kutegemea ajira na badala yake kuwaza njia mbadala zitakazo tukwaumua kiuchumi .

Hivyo basi nimeona si vibaya kupitia JF tukaanziansha movement inayohamasisha Vijana kushiriki katika kilimo.

Katika Movement hii ,tushirikishane jinsi ya kufanya kilimo ikiwa ni pamoja na ufugaji,tupeane uzoefu kwa walioshawahi kushiriki katika kilimo na tuelemishane mbinu mbali mbali ili kufika lengo la kilimo bora .

Hii itasaidia Vijana kujiajiri,kutengeneza ajira na pia kukuza Uchumi.

Karibu wadau na wapenda Maendeleo.

Me pia ni mdau wa maendeleo npo tayari kujoin
 
idea yako nzuri mimi niko tayari kutoa eneo kubwa ambalo tutalifanyia kwa shuguli za kilimo
 
Wazo zuri. Bila kukukatisha tamaa napenda kukufahamisha kuwa walioliwaza kabla yako hapa JF wameishafika mbali sana. Waliojikita ktk kilimo cha miti, miti yao ni mikubwa sana leo walioanzisha perennial farming wameaga umaskini. Kwa ufupi huna haja kuanzisha umoja/movement ambayo tayari IPO. Tafuta threads zinazozungumzia Chai Dei au wasiliana na wafuatao: Malila Maskini Jeuri chasha Ericus Kimasha

Naam,

Tukisaidiana kama timu moja tunaweza kutoka hapa tulipo. Nitachangia machache huko mbele, niko porini naendelea na kilimo. Nikirudi mjini nitawapa machache ya huku porini.
 
Nakusubiria mkuu Malila.
Tafadhali usisahau kunimention.
 
Last edited by a moderator:
Wazo zuri sana hili.

Movement ikipata angalau watu wa-4 tu serious wakaanza wengine huwa wanadandia mbele kwa mbele maana si kila mtu huwa ni mpambanaji hasa linapokuja suala la kubadili mawazo kuwa vitendo.

All the best wakuu
 
Nakusubiria mkuu Malila.
Tafadhali usisahau kunimention.

tayari movement ya hivyo ipo, ilianza na misitu ya miti ya mbao/nguzo, sasa hivi inachukua mkondo wa ufugaji. Kwa uzoefu wangu wa makundi ya Kibongo, ni vizuri movement iwe ya watu wanaofanya kitu cha aina moja pamoja lakini kila mtu kwa uwezo wake na umiliki binafsi wakati huo huo mkichangiana manegement cost. Hii itasaidia sana kukua na kufikia malengo bila kutegeana.

Movement yetu kwa sasa ina wadau 120,na inakuwa kila siku,tunafanya pamoja mambo mengi,lakini kila mmoja na shamba lake kwa uwezo wake. Kwa hiyo ukiwa mtu wa longo longo, shamba lako pekee ndio linadoda. Mdau mdogo ana eka tano na mdau mkubwa ana eka 200, wote tunashirikiana kwa uwiano bila kubebeshana mizigo. Tukiona una longo longo tunaku-drop bila kutupa damage ktk group. Ni aina ya ushirika wa aina yake. Hata mikutano huwa tunafanya.
 
Safi sana mkuu hii nimeipenda sasa ni taratibu gani za kujiunga na vipi kuhusu mtawanyiko wa wadau maeneo tofauti nchini Malila.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana mkuu hii nimeipenda sasa ni taratibu gani za kujiunga na vipi kuhusu mtawanyiko wa wadau maeneo tofauti nchini Malila.

Tuma e mail yako kwangu, kiingilio chako ni ww kununua shamba pamoja sisi basii, namna ya kuendeleza shamba lako utaipata ndani ya group. Kila siku utapata taarifa za shamba lako na utajulishwa cha kufanya kupitia jukwaa letu ambalo utaunganishwa nalo baada ya kutuma e mail.

Wadau wetu wapo nchi nzima, wengine wako majuu kama USA,UK,Finland,Sudan,SA,Uganda, na wengine sikumbuki tena waliko. Kwa upande wa misitu tumefanikiwa sana, changamoto zipo, ila nyingi tumezishinda.
 
Tupo pamoja Kiongozi.
 
mm nimeshaanza toka tar.14 augost mwaka huu...nitafute baada ya wiki mbili zijazo nikupe mchanganuo wa gharama ambazo kwa sasa bado zinaendelea ili ufahamu namna gani ya kujianda kuwa mkulima.
 
Back
Top Bottom