Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Habari wadau wote .
Niende moja kwa moja kwnye hoja yangu.
Ukiangalia uwiano kati ya wahitimu wa vyuo vikuu dhidi ya ajira zinazopatikana ,utakuata hakuna kabisa uwiano mzuri,idadi kubwa ya wahitimu hawana ajira ,huku wenye nazo bado mishahara inabaki kua duni na haitoshelezi mahitaji ya mtu. Kiufipi ajira ni Tatizo.
Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa Vijana kubadilika na kuacha kutegemea ajira na badala yake kuwaza njia mbadala zitakazo tukwaumua kiuchumi .
Hivyo basi nimeona si vibaya kupitia JF tukaanziansha movement inayohamasisha Vijana kushiriki katika kilimo.
Katika Movement hii ,tushirikishane jinsi ya kufanya kilimo ikiwa ni pamoja na ufugaji,tupeane uzoefu kwa walioshawahi kushiriki katika kilimo na tuelemishane mbinu mbali mbali ili kufika lengo la kilimo bora .
Hii itasaidia Vijana kujiajiri,kutengeneza ajira na pia kukuza Uchumi.
Karibu wadau na wapenda Maendeleo.