Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu

khomgodlove

Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
33
Reaction score
22
Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu.

Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA.

Kungepatikana namna hata ya nchi kuunganisha namna asilimia thelathini au hata nusu yake inayobaki US ije kwtu na hizi tax nyingine zifutwe, hela nyingi za mayoutuber na wadau wa digitals zinaishia kwa wasio wenyewe.

wwww.jpg

NB: kwenye ile fomu ya tax ads unapo ijaza kuna sehemu kabisa ya kuikimbia ama kuipunguza ikiwa unafanyia kazi nje ya US ila nchi ya sis
 
Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu.

Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA.

Kungepatikana namna hata ya nchi kuunganisha namna asilimia thelathini au hata nusu yake inayobaki US ije kwtu na hizi tax nyingine zifutwe, hela nyingi za mayoutuber na wadau wa digitals zinaishia kwa wasio wenyewe.

View attachment 2161818
View attachment 2161764
You tube ni yao sisi ni wavamizi tu ndugu. Kuwa na yako uweke tozo kulingana na nchi yako
 
hahaha kama unaijua hii pay as you earn ya hapa kwetu basi utafurahi hii ya youtube ikirudi hapa nchini kwetu , na kwenye ile fomu ya tax ads unapo ijaza kuna sehemu kabisa ya kuikimbia ama kuipunguza ikiwa unafanyia kazi nje ya US ila nchi ya sisi haipo kabsa ndio maana nasema kuna sehemu tunakosea na tunakosa hela nyingi sana , nyingi sna
 
Sisi ujinga umekula akili zetu sio bure
 
YouTube wanachukua 30% ya revenue inayotokana na Audience kutoka USA.

Siyo revenue ya total views ulizopata.
 
Kwani hizo hela zinatoka kea nani? Kina nani wanakuwa wamelipa jumla ikafika 100m. Mondi akapewa 70 katika hiyo 100m
 
YouTube wanachukua 30% ya revenue inayotokana na Audience kutoka USA.

Siyo revenue ya total views ulizopata.

Kwahiyo unasema YouTube hawa withhold tax?

sio unasemea kodi kwamba US wanacharge Non-resident(Diamond) kutokana na ile income iliyokuwa generated Home country(US) ambayo ni kwa their perspective of tax
 
Back
Top Bottom