Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu.
Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA.
Kungepatikana namna hata ya nchi kuunganisha namna asilimia thelathini au hata nusu yake inayobaki US ije kwtu na hizi tax nyingine zifutwe, hela nyingi za mayoutuber na wadau wa digitals zinaishia kwa wasio wenyewe.
Your browser is not able to display this video.
NB: kwenye ile fomu ya tax ads unapo ijaza kuna sehemu kabisa ya kuikimbia ama kuipunguza ikiwa unafanyia kazi nje ya US ila nchi ya sis
Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu.
Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA.
Kungepatikana namna hata ya nchi kuunganisha namna asilimia thelathini au hata nusu yake inayobaki US ije kwtu na hizi tax nyingine zifutwe, hela nyingi za mayoutuber na wadau wa digitals zinaishia kwa wasio wenyewe.
hahaha kama unaijua hii pay as you earn ya hapa kwetu basi utafurahi hii ya youtube ikirudi hapa nchini kwetu , na kwenye ile fomu ya tax ads unapo ijaza kuna sehemu kabisa ya kuikimbia ama kuipunguza ikiwa unafanyia kazi nje ya US ila nchi ya sisi haipo kabsa ndio maana nasema kuna sehemu tunakosea na tunakosa hela nyingi sana , nyingi sna

sio unasemea kodi kwamba US wanacharge Non-resident(Diamond) kutokana na ile income iliyokuwa generated Home country(US) ambayo ni kwa their perspective of tax