YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

Mkuu kwenye hiyo coment hakuna niliposema CPC.

CPC means ' Cost per click' na hii inatumika kwa wale wanaotaka kufanya advertising. Wanalipa hii kama mtu akibonyeza tangazo.

CPM means 'Click per mille' na hii inatumika kwa wale wanaotaka kufanya advertising. Wanalipa hii kama mtu ameliona tangazo bila kulibonyeza na hadi ifikie tangazo limeonekana mara 1000.

Kwa hiyo, Youtube wanalipa kwa njia zote mbili.

Tangazo likionekana mara 1000 bila kubonyezwa unalipwa kwa kiwango chake.

Ila tangazo likibonyezwa, unalipwa zaidi.
 
Kaka, nimeona YouTube channel yako iko na Multi Channel Network (MTN), so iko managed na Ngomma Vas Ltd.

Hao wapo kwa ajili ya kusimamia kazi za wasanii na kuwaboost, but kuna parcents lazima uziache kwao!.
Hawa wakenya wanakula 30-40% ya gross income na wamesaidia kuboost YouTube channel za Wasafi, Barnaba na wengine na pia kuna watanzania walikuwa wanafanya kazi hapo wakaja kufungua kampuni kama Slide Digital na SmileSasa.
Kwa sasa muziki umekuja kulipa sana kwenye Digital platforms, sync licensing pamoja na publishing
 
Na vipi kwa zike channel za wildlife/wanyama ,imekaaje mkuu?
 
Mimi kazi zote nazofanya na kampuni ya kimarekani huwa kuna fomu wananipa nijaze hawanikat hata sumni
Hebu niambie nifanyaje mkuu maana hawa distributors wanakata 30% ya mapato ya distribution aisee
 
Hebu niambie nifanyaje mkuu maana hawa distributors wanakata 30% ya mapato ya distribution aisee
Mkuu mimi sijui we unafanya kazi gani mm kazi nazofanyaga nafanya na agenciws kama blend, welocalize, smartcat so hao mm huwa kila mwisho wa mwaka wananitumia fomu za kujaza sijui inaitwa f8 hata jina nmelisahau
 
Sasa hivi nimebase kwenye distribution na kampuni kama Songtradr, Tunecore na OneRpm mkuu.
 
Sasa hivi nimebase kwenye distribution na kampuni kama Songtradr, Tunecore na OneRpm mkuu.
Mkuu mimi nadhan mnagawana mapato labda ndio maana wao wanakata 30%. Sasa mimi nilichokuwa naongelea ilikuwa ni kodi.
 
Hiyo fomu bahati mbaya inataka mambo ya EIN ambayo huwa sina mkuu
W-8BEN wakupe hii.
Mkuu hizi form nazijaza kila mwisho wa mwaka na kila maybe nikianza fanya na agency mpya. Huwa najaza vitu vilivyo applicable kwangu visivyo applicable natia N/A
 
W-8BEN wakupe hii.
Mkuu hizi form nazijaza kila mwisho wa mwaka na kila maybe nikianza fanya na agency mpya. Huwa najaza vitu vilivyo applicable kwangu visivyo applicable natia N/A
Kwani hizo agency unafanyaje nazo kazi ili wasikate kitu?
 
Wahindi wanazurula sana online.

Pia India, GB Moja, ni kama Tsh 200/- kwahiyo wako sana online.

Vile vile, India population yao ni kubwa sana.

Uko sahihi india na china zina idadi ya watu karibu bilioni 1.4 kila mmoja kwahiyo mataifa mawili yana karibu watu bilion 2.9 wakati dunia ina karibu watu bilion 8 utaona domination yao kwenye kila kitu maana wako wengi hao kupita maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…