YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

Lez goo
 

Attachments

  • Screenshot_2023-01-16-16-06-03-04_36f0922ae6d819f1f6b3242f774499b2.jpg
    Screenshot_2023-01-16-16-06-03-04_36f0922ae6d819f1f6b3242f774499b2.jpg
    64.2 KB · Views: 35
Acha Uongo, nina content za kiswahili na zinaingiza ela na video zote zina matangazo. Acha kukatisha watu tamaa.

YouTube sio kama Blog, Kwa Blogs sawa Content za Kiswahili haziruhusiwi kwenye monetization ya AdSemce ila Kwa YouTube hawana Limitation ya Lugha, Kwa YouTube labda useme Geographical Location na aina ya content ndo ina affect CPM, na Kwa YouTune hawalipi kwa CPC kama Blog bali YouTube wanalipa kwa CPM.

Acha Kuwachota watu kama huna uhakika wa jambo unalolisema Litafutie Tarifa zaidi kabla hujalieleza.

Unachokielezea kinakaribiana na ukweli lakini Umeweka Uongo mwingi kuliko ukweli. Mfano Kusema YouTube wanalipa kwa CPC nimefanya niamini Hujui unachokisema.

YOUTUBE kuna Ela ukijituma no mara where you are japo Biashara Ile ile inayofanyika Tanzania haiwezi ingiza Kipato sawa na biashara inayofanyika Marekani. The same to YouTube ya Bongo na YouTube ya Marekani
Mkuu kwenye hiyo coment hakuna niliposema CPC.

CPC means ' Cost per click' na hii inatumika kwa wale wanaotaka kufanya advertising. Wanalipa hii kama mtu akibonyeza tangazo.

CPM means 'Click per mille' na hii inatumika kwa wale wanaotaka kufanya advertising. Wanalipa hii kama mtu ameliona tangazo bila kulibonyeza na hadi ifikie tangazo limeonekana mara 1000.

Kwa hiyo, Youtube wanalipa kwa njia zote mbili.

Tangazo likionekana mara 1000 bila kubonyezwa unalipwa kwa kiwango chake.

Ila tangazo likibonyezwa, unalipwa zaidi.
 
Kaka, nimeona YouTube channel yako iko na Multi Channel Network (MTN), so iko managed na Ngomma Vas Ltd.

Hao wapo kwa ajili ya kusimamia kazi za wasanii na kuwaboost, but kuna parcents lazima uziache kwao!.
Hawa wakenya wanakula 30-40% ya gross income na wamesaidia kuboost YouTube channel za Wasafi, Barnaba na wengine na pia kuna watanzania walikuwa wanafanya kazi hapo wakaja kufungua kampuni kama Slide Digital na SmileSasa.
Kwa sasa muziki umekuja kulipa sana kwenye Digital platforms, sync licensing pamoja na publishing
 
Kaka wale wanapata pia matangazo ya nje.

Contents za kiswahili wastani ni kuanzia $0 hadi $1 kwa click moja.
Na sio kila video inapewa matangazo.

Tofauti na contents za kiingereza wastani ni kuanzia $1 kuendelea.

Si unaona hapo kwenye kiswahili utahitaji nguvu ya ziada ili uweze kupata pesa nyingi. Utahakikisha unapost contents kwa wingi ili mzunguko uende sawa.
Na vipi kwa zike channel za wildlife/wanyama ,imekaaje mkuu?
 
Hebu niambie nifanyaje mkuu maana hawa distributors wanakata 30% ya mapato ya distribution aisee
Mkuu mimi sijui we unafanya kazi gani mm kazi nazofanyaga nafanya na agenciws kama blend, welocalize, smartcat so hao mm huwa kila mwisho wa mwaka wananitumia fomu za kujaza sijui inaitwa f8 hata jina nmelisahau
 
Mkuu mimi sijui we unafanya kazi gani mm kazi nazofanyaga nafanya na agenciws kama blend, welocalize, smartcat so hao mm huwa kila mwisho wa mwaka wananitumia fomu za kujaza sijui inaitwa f8 hata jina nmelisahau
Sasa hivi nimebase kwenye distribution na kampuni kama Songtradr, Tunecore na OneRpm mkuu.
 
Sasa hivi nimebase kwenye distribution na kampuni kama Songtradr, Tunecore na OneRpm mkuu.
Mkuu mimi nadhan mnagawana mapato labda ndio maana wao wanakata 30%. Sasa mimi nilichokuwa naongelea ilikuwa ni kodi.
 
Hiyo fomu bahati mbaya inataka mambo ya EIN ambayo huwa sina mkuu
W-8BEN wakupe hii.
Mkuu hizi form nazijaza kila mwisho wa mwaka na kila maybe nikianza fanya na agency mpya. Huwa najaza vitu vilivyo applicable kwangu visivyo applicable natia N/A
 
W-8BEN wakupe hii.
Mkuu hizi form nazijaza kila mwisho wa mwaka na kila maybe nikianza fanya na agency mpya. Huwa najaza vitu vilivyo applicable kwangu visivyo applicable natia N/A
Kwani hizo agency unafanyaje nazo kazi ili wasikate kitu?
 
Wahindi wanazurula sana online.

Pia India, GB Moja, ni kama Tsh 200/- kwahiyo wako sana online.

Vile vile, India population yao ni kubwa sana.

Uko sahihi india na china zina idadi ya watu karibu bilioni 1.4 kila mmoja kwahiyo mataifa mawili yana karibu watu bilion 2.9 wakati dunia ina karibu watu bilion 8 utaona domination yao kwenye kila kitu maana wako wengi hao kupita maelezo
 
Back
Top Bottom