Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umetoa tahadhari kwa wamiliki wa vituo vya YouTube watakao chapisha Maudhui yanayo Sababisha Taharuki Kati ya Russia na Ukraine.
Mtandao huo utaziondoa video zote zenye kuleta uchochezi kati ya nchi hizo mbili. Video hizo ni pamoja na video zilizo rekodiwa wakati wa matukio ya mashambulizi au vurugu zikionyesha unyanyasaji.
Hivyo kwa vituo vitakavyo pakia Maudhui hayo vitapewa onyo kama ni mara ya kwanza kukiuka sera hizo na vituo vitakavyo rudia kosa basi vutasitishwa kwa muda wa siku 7 hivyo havitaruhusiwa kupakia, kupakua au kutiririsha Maudhui ya Moja Kwa moja(luve streaming).
Pia athari nyingine kwa wamiliki wa vituo vya YouTube watakao kinzana na sera sera hizi ni kukosa Uchumaji mapato kutoka kwenye mtandao huo.
Imetolewa na kitengo cha sera za Jamii cha YouTube.