Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
- Thread starter
- #21
Hujajiuliza hivi vikwazo hivyo vya uchumi vikiwekwa nchi nyingi hata za ulaya unazani Russia hata pata pigo?Wewe mzee unaangalia vitu katika picha ndogo sana mzee. You are too local. Try to ne international.
Pesa ya kutumia mtoto siyo target kwenye international economic war. Lengo la Marekani ni kupunguzia Russua influence in Europe. Lakini mpaka sasa marekani ameshachelewa Russua ipo na influence kubwa sana huko ulaya.
Isssue ya SWIFT ni ngumu mno ni sawa na kujipiga kidole mwenyewe machoni.
Nakushauri hebu fuatilia makampuni makubwa ya Uranium, Mafuta na Gas duniani.
Hapa Tanzania wanaochimba Uranium ni Uranium one. Kampuni kutoka Russia.
Silaha zetu za kivita 96% from Russia.
Don't say kitu usichokijua.
Just imagine mfano mafuta, gas na silaha aaiuze nje unataka kusema uchumi wake utaendelea kuwa imara?