YouTube kuondoa Maudhui yanayosababisha taharuki kati ya Russia na Ukraine

Hujajiuliza hivi vikwazo hivyo vya uchumi vikiwekwa nchi nyingi hata za ulaya unazani Russia hata pata pigo?

Just imagine mfano mafuta, gas na silaha aaiuze nje unataka kusema uchumi wake utaendelea kuwa imara?
 
Hii mbaya Mimi nina nina kituo cha YouTube nilirusha ndege tu zikiingia Ukraine na kusindikiza kicha cha habari.

"Ndege za Russia zivamia Ukraine"

Dah wameiondoa na kunipa onyo kwa vile ni mara Yangu ya kwanza hivyo haijaniathiri kivile.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hujajiuliza hivi vikwazo hivyo vya uchumi vikiwekwa nchi nyingi hata za ulaya unazani Russia hata pata pigo?

Just imagine mfano mafuta, gas na silaha aaiuze nje unataka kusema uchumi wake utaendelea kuwa imara?
Mzee Russia was there miaka na miaka. Usiifananishe Russia na nchi za ajabu ajabu.

Namushauri nenda kafuatilie historia ya Russia. Nenda kasome kuhusu Cold War. Najaribu kukufumbua macho. Vikwanzo vilishawekwa kwa Russia zaidi ya hivi lakini Russia anadunda tu.

Kama unataka kujifunza Geopolitics nenda shule na utakuja kujua haya yaliyo semwa ni maigizo tu.

UN security Council wamefanya nini!? Wamepiga kura Russia yupo na kura ya VETO, China, India na Falme za kiarabu wakakaa kimya. Hakuna resolution iliyofikiwa.
Katibu wa UN anataka kuitisha UN Assembly meeting iliwapige kura. Utashangaa kura zitakazo toka. 90% ya Asia watakuwa upande wa Russia, 60% ya Africa watakuwa upande wa Russia. Ulaya napoa tegemea nchi nyingi tu kuwa upande wa Russia Ukianzia na Turkey.

Mzee usiichukulie poa Russia.
 
Mbona unaongea kwa ushabiki hivo ,vp Leo hujasikia Benki kuu ya Urusu wameongeza riba kutoka 9% hadi 20% ili kukabiliana na hu vikwazo vya kiuchumi? Kwa vikwazo walivowekewa ni swala la muda tu watayumba vibaya mn😵ngea kwa facts na sio kwa ushabiki .
 
Unaweza kuiweka taarifa hiyo hapa!?
 
Nenda kwenye taalifa ya Central bank of Russia tatizo lako unamahaba na Urusi ,Hivi kweli Nchi iwekewe vikwazo vingi kiasi hicho isipate Madara kweli?
Mzee weka taarifa hapa acha upumbavu wa kimara bonyokwa.🤣🤣🤣
 
Mkuu kwa sasa Dunia ya leo ni tofauti na dunia ya nyuma.
Hivyo vikwazo vikiwekwa kwa sasa kivyovyote Russia lazima pigo limpate.

Ila pengine wewe unajua zaidi yangu hivyo mjadala hautoisha basi acha kila mtu aamini anavyo amini labda tutapata nyongeza.
 
Siyo huenda. Maandishi yako tu haya yanaonesha upeo wako ni mdogo mno. Nenda shule kwanza uwe na upeo na ujue dunia vizuri. Zaidi ya hapo endelea kuweka youtube video and monetize them.

But don't compare the powerful nation in this World like Russia with Zuchu au watu wengine.

Halafu jifunze uache ushamba.
 
Tangu mdau hapo juu ulivyo weka maneno ya kejeli na yeye kuleta uthibitisho nimegundua si kwamba unafahamu sana hapana sema unaushabiki na mahaba pasipo kujua.
 
Tangu mdau hapo juu ulivyo weka maneno ya kejeli na yeye kuleta uthibitisho nimegundua si kwamba unafahamu sana hapana sema unaushabiki na mahaba pasipo kujua.
Mzee unaniletea international news kutoka kwa Milard Ayo!!? Are you stupid or something!? Nimekuwambia you are too local try to be international.

Zaidi sana utaendelea na u mbumbumbu wako. Huyo Millard Ayo kapata wapi hiyo taarifa!? Anakijua ki Russia!?
 
Endelea kubisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…