YouTube kuondoa Maudhui yanayosababisha taharuki kati ya Russia na Ukraine

Mwanzo niliona Mtu fulani una akili kumbe una ushabiki Tu hata Millard Ayo nimekuambia amesema ni taarifa kutoka benk kuu ya nchi unayo leta ushabiki baada ya kujiridhisha unajiona much know.

Hapo mdau kareta vyanzo vinavyo aminika umesepa.

Ndio nimejua kuwa hujui kitu.
 
Kigezo cha kusema anakijua kirussia naona still upo locally na wewe.

App ngapi zina translate language kutoka language unayo taka kwenda language unayo taka?

Kuna Google translate hata nikichukua kichina nina translate kuwa Kiswahili.

Mkuu Rudi shule bado upo outdated sana jaribu kuupdate akili zako.

Eti unakurupuka kusema Mimi ni stupid sasa si umeona ustupidity ulio nao?

Shame on you guy.
 
Hii mbaya Mimi nina nina kituo cha YouTube nilirusha ndege tu zikiingia Ukraine na kusindikiza kicha cha habari.

"Ndege za Russia zivamia Ukraine"

Dah wameiondoa na kunipa onyo kwa vile ni mara Yangu ya kwanza hivyo haijaniathiri kivile.
unge badili kichwa cha habari Putin akalia kuti kavu! adi sasa hakuna picha mpya au vita vimesimama
 
unge badili kichwa cha habari Putin akalia kuti kavu! adi sasa hakuna picha mpya au vita vimesimama
Nisaidie kumtag Moderator ili abadili kichwa cha habari aandike kukalia kuti kavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…