Mkuu unamzunguzia huawei.Yule mpinzani wa Android lifikia wapi?
Yeah, OS yake ilifikia wapi kuiondoa sokoni Android?Mkuu unamzunguzia huawei.
View attachment 3656080
Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube
Mkuu hawa jamaa wanauza sana kwao ila kimataiba bado wako nyuma.Yeah, OS yake ilifikia wapi kuiondoa sokoni Android?
Tech ya mchina ni copy and paste mkuu!Sio kwamba wako vizuri, no wameiteka dunia tu.
Wachina wako njema balaa.
Shida sio ku copy.. Na usilingannishe bidhaa unazo rushiwa huku Africa na tech zao, nimefanya kazi naa wachina. Simu zao sio apple ila ni kati ya a simu zenye ubora wa kali ya juu both software na hardwareTech ya mchina ni copy and paste mkuu!
Wapo so advanced lakini vingi wamekopi tu...
Kinachonihuzunisha ni kwamba mchina anacopy, yaani yeye anafanya kitu kwa awamu ya pili baada ya yule wa kwanza kukifanya, hakai chini kupasua akili kama wenzake kisha akaja na kitu chake ila yeye anafanya kuiga kwa wenzie. Mashabiki wa China wanajitapatapa sana kupambana na products/services za US/EUROPE.Hata Facebook,Google na wengineo mlisema hivyo hivyo
Wako mbali sana saaana ukicompare na wengine. Mchina anafanya kile ambacho Mmarekani ameshafanya. Jamaa mmoja alikuwa mpenzi sana wa simu za TECNO/INFINIX na akawa anasema hakuna kitu kwenye IPHONE/SAMSUNG kisha akakikosa kwenye TECNO/INFINIX. Amewahama hao ameingia ulimwengu wa Smartphones hasa, jamaa humwambii kitu, anasema kachelewa saana kuhama kwenye matecno, alikuwa anapambanisha hadi Camera na kusema hazinaga utofauti na IPHONE/SAMSUNG.Awali ni awali tu! Labda kwenye soko la wachina maana wao wenyewe tu wanajitosheleza, ila worldwide ni ngumu.
Kwenye Tech wamarekani wapo safari nyingine.
Nimeshuhudia kwa macho yangu Wachina wakizindua duka la TECNO pale Posta na lingine la HISENSE Posta pia. Wachina wote kuanzia wale wa chini hadi wale walioonekana ni maboss walikuwa wakitumia Iphones tena zilikuwa na latest Iphones. Nitajie simu gani hizo ambazo wewe umeona Wachina wakitumia ili tuelimishane mkuu?Shida sio ku copy.. Na usilingannishe bidhaa unazo rushiwa huku Africa na tech zao, nimefanya kazi naa wachina. Simu zao sio apple ila ni kati ya a simu zenye ubora wa kali ya juu both software na hardware
Kampuni ya HUAWI ikaenda kuhamia kwenye ufugaji mkubwa Nguruwe baada ya kupigwa pini. Wachina wakicopy kitu bado wanajiona ni miamba sana mbele za wale walikocopy bidhaa zao.Yeah, OS yake ilifikia wapi kuiondoa sokoni Android?
Mbona jina baya sana,View attachment 3656080
Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube 😃.
China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! 🎥🔥 Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo wake kwa watumiaji wa kimataifa.
Kinachofanya Bilibili iwe tofauti ni nguvu yake kwenye 🎨anime, 🎮gaming,🎬 entertainment, 💬livestreaming na community-driven content. Ikiwa itaweza kuvutia creators wengi nje ya China, tunaweza kuona ushindani mkubwa zaidi kwenye dunia ya video mtandaoni. 👀
Ambapo kupitia bilibili pia creator wanaweza kujipatia kipato kupitia machapisho mbalimbali 🔥.
🔥 YouTube imepata mpinzani mpya wa kimataifa kutoka China unasemaje?
Wachina wana simu nzuri and more advanced kuliko iPhone, jaribu Huawei mate, Xiaomi , Honor porsche etc hizo tecno ni kwa wateja wa low budget kama AfricaNimeshuhudia kwa macho yangu Wachina wakizindua duka la TECNO pale Posta na lingine la HISENSE Posta pia. Wachina wote kuanzia wale wa chini hadi wale walioonekana ni maboss walikuwa wakitumia Iphones tena zilikuwa na latest Iphones. Nitajie simu gani hizo ambazo wewe umeona Wachina wakitumia ili tuelimishane mkuu?