YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

Nimeshuhudia kwa macho yangu Wachina wakizindua duka la TECNO pale Posta na lingine la HISENSE Posta pia. Wachina wote kuanzia wale wa chini hadi wale walioonekana ni maboss walikuwa wakitumia Iphones tena zilikuwa na latest Iphones. Nitajie simu gani hizo ambazo wewe umeona Wachina wakitumia ili tuelimishane mkuu?
Mzee usikariri ulishatumia Huawei?? Kuna kipindi nilitumia huawei p30 pro na nilikua na iPhone latest niwe mkweli huawei ilikua nzuri mara kumi zaidi ya hio iPhone
 
Nimeshuhudia kwa macho yangu Wachina wakizindua duka la TECNO pale Posta na lingine la HISENSE Posta pia. Wachina wote kuanzia wale wa chini hadi wale walioonekana ni maboss walikuwa wakitumia Iphones tena zilikuwa na latest Iphones. Nitajie simu gani hizo ambazo wewe umeona Wachina wakitumia ili tuelimishane mkuu?
Hao wachina koko

Wachina wanatumia
LG
Huawei
OPPO

Ila sio hizi zinazo trend Africa, zile ni edition kali na hakuna iPhone anazikamata kwa ubora
 
Mkuu inategemea na toleo lenyewe. kwa maana zipo flagship,matoleo ya kati, na low end. ila kwenye suala la ubora wa simu iphone.yuko vizuri kuliko huawei.
 
Nakubaliana na wewe. Pia hata Sharp naye simu zake ni bora sana.
 
Yaani anime na gaming ndo umeona vitu vya maana vya kuishindana na mkongwe mwenye Kila aina ya content hebu kuwa kiakili
 
View attachment 3656080

Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube 😃.

China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! 🎥🔥 Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo wake kwa watumiaji wa kimataifa.

Kinachofanya Bilibili iwe tofauti ni nguvu yake kwenye 🎨anime, 🎮gaming,🎬 entertainment, 💬livestreaming na community-driven content. Ikiwa itaweza kuvutia creators wengi nje ya China, tunaweza kuona ushindani mkubwa zaidi kwenye dunia ya video mtandaoni. 👀

Ambapo kupitia bilibili pia creator wanaweza kujipatia kipato kupitia machapisho mbalimbali 🔥.

🔥 YouTube imepata mpinzani mpya wa kimataifa kutoka China unasemaje?
Huyo Bilibili anazidi TikTok?
 
Nimeshuhudia kwa macho yangu Wachina wakizindua duka la TECNO pale Posta na lingine la HISENSE Posta pia. Wachina wote kuanzia wale wa chini hadi wale walioonekana ni maboss walikuwa wakitumia Iphones tena zilikuwa na latest Iphones. Nitajie simu gani hizo ambazo wewe umeona Wachina wakitumia ili tuelimishane mkuu?
Wachina ndiyo wanatengeneza iPhone
Kabla ya migogoro ya Trump wachina walikuwa wanatumia zaidi iPhone kuliko simu za kichina
 
Hao wachina koko

Wachina wanatumia
LG
Huawei
OPPO

Ila sio hizi zinazo trend Africa, zile ni edition kali na hakuna iPhone anazikamata kwa ubora
iPhone 17 ndiyo simu iliyouzwa zaidi China mwaka huu
Screenshot_20260902_201541_Chrome.jpg
 
Sio kwamba wako vizuri, no wameiteka dunia tu.

Wachina wako njema balaa.
Tangu wameanza hao wachina
1. Wana TV inayoshindana na Samsung, LG au Sony?
2. Wana OS (operating system) inayoshindana na Android, Linux, Windows na IOS?
3. Wana subwoofer au soundbar gani inayoshindana LG, Sony na Samsung?
4. Wana social media gani ambazo zinaweza kushindana na Facebook, Whatsapp, Telegram na X?
5. Kwenye magari bado sana amepelea hawezi kuwafikia Scania, Mercedes Benz, Man, Isuzu n.k
Kuna vijiji huko, kuna scania zipo kabla ya kupata uhuru mpaka sasa zinafanya kazi.

Mchina amerahisisha maisha ila hajaboresha kwasababu bidhaa au vitu vyake ni low quality ndiyo kimbilio kwa watu masikini, na watu masikini ndiyo wengi duniani ndiyo nafuu ya wachina

Angalia club kubwa duniani kama Arsenal, PSG, Bayern, Juventus n.k Je, wanatumia bus za wachina?
 
Wachina wana tech nzuri sema hazipewinkioaumbele kwenye soko la ulaya
 
Awali ni awali tu! Labda kwenye soko la wachina maana wao wenyewe tu wanajitosheleza, ila worldwide ni ngumu.

Kwenye Tech wamarekani wapo safari nyingine.
Mzee tiktok ilikuja ivivi ikawachua Instagram facebook na snapchat
 
Back
Top Bottom