YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

Hata Facebook,Google na wengineo mlisema hivyo hivyo
Kinachonihuzunisha ni kwamba mchina anacopy, yaani yeye anafanya kitu kwa awamu ya pili baada ya yule wa kwanza kukifanya, hakai chini kupasua akili kama wenzake kisha akaja na kitu chake ila yeye anafanya kuiga kwa wenzie. Mashabiki wa China wanajitapatapa sana kupambana na products/services za US/EUROPE.
 
Awali ni awali tu! Labda kwenye soko la wachina maana wao wenyewe tu wanajitosheleza, ila worldwide ni ngumu.

Kwenye Tech wamarekani wapo safari nyingine.
Wako mbali sana saaana ukicompare na wengine. Mchina anafanya kile ambacho Mmarekani ameshafanya. Jamaa mmoja alikuwa mpenzi sana wa simu za TECNO/INFINIX na akawa anasema hakuna kitu kwenye IPHONE/SAMSUNG kisha akakikosa kwenye TECNO/INFINIX. Amewahama hao ameingia ulimwengu wa Smartphones hasa, jamaa humwambii kitu, anasema kachelewa saana kuhama kwenye matecno, alikuwa anapambanisha hadi Camera na kusema hazinaga utofauti na IPHONE/SAMSUNG.
 
Shida sio ku copy.. Na usilingannishe bidhaa unazo rushiwa huku Africa na tech zao, nimefanya kazi naa wachina. Simu zao sio apple ila ni kati ya a simu zenye ubora wa kali ya juu both software na hardware
Nimeshuhudia kwa macho yangu Wachina wakizindua duka la TECNO pale Posta na lingine la HISENSE Posta pia. Wachina wote kuanzia wale wa chini hadi wale walioonekana ni maboss walikuwa wakitumia Iphones tena zilikuwa na latest Iphones. Nitajie simu gani hizo ambazo wewe umeona Wachina wakitumia ili tuelimishane mkuu?
 
Yeah, OS yake ilifikia wapi kuiondoa sokoni Android?
Kampuni ya HUAWI ikaenda kuhamia kwenye ufugaji mkubwa Nguruwe baada ya kupigwa pini. Wachina wakicopy kitu bado wanajiona ni miamba sana mbele za wale walikocopy bidhaa zao.
 
Mbona jina baya sana,
 
Wachina wana simu nzuri and more advanced kuliko iPhone, jaribu Huawei mate, Xiaomi , Honor porsche etc hizo tecno ni kwa wateja wa low budget kama Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…