betting machine
Senior Member
- Aug 12, 2025
- 140
- 252
Mzee usikariri ulishatumia Huawei?? Kuna kipindi nilitumia huawei p30 pro na nilikua na iPhone latest niwe mkweli huawei ilikua nzuri mara kumi zaidi ya hio iPhoneNimeshuhudia kwa macho yangu Wachina wakizindua duka la TECNO pale Posta na lingine la HISENSE Posta pia. Wachina wote kuanzia wale wa chini hadi wale walioonekana ni maboss walikuwa wakitumia Iphones tena zilikuwa na latest Iphones. Nitajie simu gani hizo ambazo wewe umeona Wachina wakitumia ili tuelimishane mkuu?
Hao wachina kokoNimeshuhudia kwa macho yangu Wachina wakizindua duka la TECNO pale Posta na lingine la HISENSE Posta pia. Wachina wote kuanzia wale wa chini hadi wale walioonekana ni maboss walikuwa wakitumia Iphones tena zilikuwa na latest Iphones. Nitajie simu gani hizo ambazo wewe umeona Wachina wakitumia ili tuelimishane mkuu?
Mkuu inategemea na toleo lenyewe. kwa maana zipo flagship,matoleo ya kati, na low end. ila kwenye suala la ubora wa simu iphone.yuko vizuri kuliko huawei.Hao wachina koko
Wachina wanatumia
LG
Huawei
OPPO
Ila sio hizi zinazo trend Africa, zile ni edition kali na hakuna iPhone anazikamata kwa ubora
Nakubaliana na wewe. Pia hata Sharp naye simu zake ni bora sana.Mkuu inategemea na toleo lenyewe. kwa maana zipo flagship,matoleo ya kati, na low end. ila kwenye suala la ubora wa simu iphone.yuko vizuri kuliko huawei.
Ndy mkuu kuanzi R6 naona ziko vizuri.Nakubaliana na wewe. Pia hata Sharp naye simu zake ni bora sana.
Iwe pilipili!Na sisi TZ tuanzishe yetu kwenye "B" tuweke "P".
Kwa nini na wewe usikopi ili uwe giant kama mchina?Tech ya mchina ni copy and paste mkuu!
Wapo so advanced lakini vingi wamekopi tu...
Knowledge-know-how!!Kwa nini na wewe usikopi ili uwe giant kama mchina?
Huyo Bilibili anazidi TikTok?View attachment 3656080
Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube 😃.
China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! 🎥🔥 Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo wake kwa watumiaji wa kimataifa.
Kinachofanya Bilibili iwe tofauti ni nguvu yake kwenye 🎨anime, 🎮gaming,🎬 entertainment, 💬livestreaming na community-driven content. Ikiwa itaweza kuvutia creators wengi nje ya China, tunaweza kuona ushindani mkubwa zaidi kwenye dunia ya video mtandaoni. 👀
Ambapo kupitia bilibili pia creator wanaweza kujipatia kipato kupitia machapisho mbalimbali 🔥.
🔥 YouTube imepata mpinzani mpya wa kimataifa kutoka China unasemaje?
Wachina ndiyo wanatengeneza iPhoneNimeshuhudia kwa macho yangu Wachina wakizindua duka la TECNO pale Posta na lingine la HISENSE Posta pia. Wachina wote kuanzia wale wa chini hadi wale walioonekana ni maboss walikuwa wakitumia Iphones tena zilikuwa na latest Iphones. Nitajie simu gani hizo ambazo wewe umeona Wachina wakitumia ili tuelimishane mkuu?
iPhone 17 ndiyo simu iliyouzwa zaidi China mwaka huuHao wachina koko
Wachina wanatumia
LG
Huawei
OPPO
Ila sio hizi zinazo trend Africa, zile ni edition kali na hakuna iPhone anazikamata kwa ubora
Hizo ni statistic za mauzo tu maana nao wanakuja kuuza hukuiPhone 17 ndiyo simu iliyouzwa zaidi China mwaka huu
View attachment 3662049
Mauzo huko China siyo globalyHizo ni statistic za mauzo tu maana nao wanakuja kuuza huku
Tangu wameanza hao wachinaSio kwamba wako vizuri, no wameiteka dunia tu.
Wachina wako njema balaa.
Wachina wana tech nzuri sema hazipewinkioaumbele kwenye soko la ulayaTangu wameanza hao wachina
1. Wana TV inayoshindana na Samsung, LG au Sony?
2. Wana OS (operating system) inayoshindana na Android, Linux, Windows na IOS?
3. Wana subwoofer au soundbar gani inayoshindana LG, Sony na Samsung?
4. Wana social media gani ambazo zinaweza kushindana na Facebook, Whatsapp, Telegram na X?
5. Kwenye magari bado sana amepelea hawezi kuwafikia Scania, Mercedes Benz, Man, Isuzu n.k
Kuna vijiji huko, kuna scania zipo kabla ya kupata uhuru mpaka sasa zinafanya kazi.
Mchina amerahisisha maisha ila hajaboresha kwasababu bidhaa au vitu vyake ni low quality ndiyo kimbilio kwa watu masikini, na watu masikini ndiyo wengi duniani ndiyo nafuu ya wachina
Angalia club kubwa duniani kama Arsenal, PSG, Bayern, Juventus n.k Je, wanatumia bus za wachina?
Mzee tiktok ilikuja ivivi ikawachua Instagram facebook na snapchatAwali ni awali tu! Labda kwenye soko la wachina maana wao wenyewe tu wanajitosheleza, ila worldwide ni ngumu.
Kwenye Tech wamarekani wapo safari nyingine.