It takes time to dethrone, China slowly but surely will dethrone US+Europe.Tangu wameanza hao wachina
1. Wana TV inayoshindana na Samsung, LG au Sony?
2. Wana OS (operating system) inayoshindana na Android, Linux, Windows na IOS?
3. Wana subwoofer au soundbar gani inayoshindana LG, Sony na Samsung?
4. Wana social media gani ambazo zinaweza kushindana na Facebook, Whatsapp, Telegram na X?
5. Kwenye magari bado sana amepelea hawezi kuwafikia Scania, Mercedes Benz, Man, Isuzu n.k
Kuna vijiji huko, kuna scania zipo kabla ya kupata uhuru mpaka sasa zinafanya kazi.
Mchina amerahisisha maisha ila hajaboresha kwasababu bidhaa au vitu vyake ni low quality ndiyo kimbilio kwa watu masikini, na watu masikini ndiyo wengi duniani ndiyo nafuu ya wachina
Angalia club kubwa duniani kama Arsenal, PSG, Bayern, Juventus n.k Je, wanatumia bus za wachina?
Story za zilipendwa. Infact China kashampita USA kwa sasa kwenye kila kitu isipokuwa Dola ya Petro-Dollar.hakuna nchi yeyote yenye uwezi wa kuipiku USA, kiteknolojia, kijeshii, kisiasa, wala chochote. USA ni habari nyingine
Software bado sana mchina ila kwenye hardware wanajitahidi.It takes time to dethrone, China slowly but surely will dethrone US+Europe.
Tena kwenye teknolojia za software watafanya kwa haraka zaidi kuliko ata Hardwares. Si umeona tiktok ilivochukua mda mfupi kutake over?
Nitajie programs na applications unazotumia kwenye simu na computer zilizotengenezwa na wachina na wamarekani?Story za zilipendwa. Infact China kashampita USA kwa sasa kwenye kila kitu isipokuwa Dola ya Petro-Dollar.
Na kupitia BRICS, watafanya hivo very soon
Mchina bado sana bidhaa zake ni low quality. Leo hii ukienda dukani unaweza kuuziwa iPhone ya kichina😀😀Wachina wana tech nzuri sema hazipewinkioaumbele kwenye soko la ulaya
Mkuu wachina, wanatengeneza vitu kutokana na uchumi wetu. watanzani wengi hatuna uwezo wa kununua vitu orgnar, fikiria JBL 300k watanzania wachache wataweza kumudu.Mchina bado sana bidhaa zake ni low quality. Leo hii ukienda dukani unaweza kuuziwa iPhone ya kichina
Nitajie Club kubwa duniani zinazotumia mabus ya kichina?
Mkuu unaipakuaje hii mana nmejaribu lakin nmeshindwaView attachment 3656080
Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube 😃.
China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! 🎥🔥 Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo wake kwa watumiaji wa kimataifa.
Kinachofanya Bilibili iwe tofauti ni nguvu yake kwenye 🎨anime, 🎮gaming,🎬 entertainment, 💬livestreaming na community-driven content. Ikiwa itaweza kuvutia creators wengi nje ya China, tunaweza kuona ushindani mkubwa zaidi kwenye dunia ya video mtandaoni. 👀
Ambapo kupitia bilibili pia creator wanaweza kujipatia kipato kupitia machapisho mbalimbali 🔥.
🔥 YouTube imepata mpinzani mpya wa kimataifa kutoka China unasemaje?
Unaripoti kutoka kijiwe gani mkuuStory za zilipendwa. Infact China kashampita USA kwa sasa kwenye kila kitu isipokuwa Dola ya Petro-Dollar.
Na kupitia BRICS, watafanya hivo very soon
Wachina wamerahisisha maisha ila hawajaboresha maisha.Mkuu wachina, wanatengeneza vitu kutokana na uchumi wetu. watanzani wengi hatuna uwezo wa kununua vitu orgnar, fikiria JBL 300k watanzania wachache wataweza kumudu.
Bilibili iliishia wapi?View attachment 3656080
Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube 😃.
China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! 🎥🔥 Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo wake kwa watumiaji wa kimataifa.
Kinachofanya Bilibili iwe tofauti ni nguvu yake kwenye 🎨anime, 🎮gaming,🎬 entertainment, 💬livestreaming na community-driven content. Ikiwa itaweza kuvutia creators wengi nje ya China, tunaweza kuona ushindani mkubwa zaidi kwenye dunia ya video mtandaoni. 👀
Ambapo kupitia bilibili pia creator wanaweza kujipatia kipato kupitia machapisho mbalimbali 🔥.
🔥 YouTube imepata mpinzani mpya wa kimataifa kutoka China unasemaje?
Subwoofer za china zinazo fanya vizuri ni Mr uk, seapiano,nk.Wachina wamerahisisha maisha ila hawajaboresha maisha.
High quality ina gharama na wachina hawajafika kwenye level ya high quality ndiyo maana bidhaa zao wananunua masikini.
Unasikiliza muziki lakini unasikia ni makelele tu, ni subwoofer gani ya kichina inayolingana ubora na JBL?
Hizo nimetumia ni makelele tu. Watanzania wengi hufikiri subwoofer ikiwa na besi kubwa na nzito ndiyo ina muziki mzuri. Hizo subwoofer kadri unavyoongeza sauti kubwa ndiyo unasikia makelele na wengi wananunua hizo ni kwasababu ya umasikini.Subwoofer za china zinazo fanya vizuri ni Mr uk, seapiano,nk.
Sawa mkuu.Hizo nimetumia ni makelele tu. Watanzania wengi hufikiri subwoofer ikiwa na besi kubwa na nzito ndiyo ina muziki mzuri. Hizo subwoofer kadri unavyoongeza sauti kubwa ndiyo unasikia makelele na wengi wananunua hizo ni kwasababu ya umasikini.
Ushawahi kusikiliza muziki kupitia subwoofer ya Sony? Bei ya Subwoofer ya Sony una Seapiano na Mr Uk mbili na chenji unabaki nayo ya kula wiki nzima
Upo dunia gani wewe, au ndio mapenzi kwahakuna nchi yeyote yenye uwezi wa kuipiku USA, kiteknolojia, kijeshii, kisiasa, wala chochote. USA ni habari nyingine
Endelea kujifariji na maneno ya vijiweniUpo dunia gani wewe, au ndio mapenzi kwa
Endelea kujifariii na ufinyu wa uelewa wako.Endelea kujifariji na maneno ya vijiweni
1. Ni nchi gani iliyomuwekea vikwazo Marekani? Utasema ni Iran 😀😀😀😀😀 Marekani anarusha makombora Iran, yanaua viongozi na raia lakini Iran anaishia kupiga kambi za jeshi zilizokuwa Iraq, Yemen, Saudia Arabia n.k. Anajua Iran akirusha kombora likifika USA, ndiyo mwisho wake.Upo dunia gani wewe, au ndio mapenzi kwa
Kwa gazeti hilo ulilaandika inaonekana unapenda ligi.1. Ni nchi gani iliyomuwekea vikwazo Marekani? Utasema ni Iran 😀😀😀😀😀 Marekani anarusha makombora Iran, yanaua viongozi na raia lakini Iran anaishia kupiga kambi za jeshi zilizokuwa Iraq, Yemen, Saudia Arabia n.k. Anajua Iran akirusha kombora likifika USA, ndiyo mwisho wake.
Marekani kijeshi hata Putin anajua
2. Kwa technolojia ndogo sana ambapo hakuna mbadala wa Marekani anamiliki Google, Facebook, gmail, youtube, chrome, whatsapp, X, instagram, playstore, Android os, windows os, google os, microsoft office, AI, Netflix
3. Movies na series unaangalia za wamerakani kutoka Hollywood. Muziki mzuri upo USA
4. Mashirika makubwa duniani unayoyajua makao makuu yapo Marekani WHO, UNHCF, UN, IMF
5. Marekani ni nchi ambapo kila mtu anapenda na anataka kwenda huko ndiyo maana kila raia duniani yupo Marekani. Pale kuna watanzania, wachina, wasyria, wasomalia, wajapani n.k
6. Marekani ndiyo nchi ya kwanza duniani inayotoa misaada ya kifedha, kijeshi, afya, elimu n.k