sina uhakika ila youtube ni wazoefu wa hizi kazi
Nonsense mind!Endelea kujifariii na ufinyu wa uelewa wako.
Hapo haujajibu hata swali mojaπππKwa gazeti hilo ulilaandika inaonekana unapenda ligi.
Unadhani mie nnamuda wakusoma gazeti lile, muda wakazi huu kijana.Hapo haujajibu hata swali mojaπππ
Ndiyo yale ya nchi ya Iran na viongozi wake habari zao wanapost X, Facebook na kupashana habari kupitia gmail na whatsappπππ
Ungeenda ukamuulize mkurugenzi wa Huawei akujibu vizuri
Upo busy na kazi wakati upo JF, whatsapp na XππππUnadhani mie nnamuda wakusoma gazeti lile, muda wakazi huu kijana.
Tiktok ni uchafu na kupoteza muda. Mtu anachukua muziki wa msanii yoyote anaanza kuimba na kucheza.TikTok influencers wa Tanzania wananufaika vipi na TikTok kabla hatujahamia huko ?