Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Wanasema pesa ngumu ๐ hakuna Kuonga Aiseeh!!!
YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. ๐
Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views ndani ya siku 90. ๐ฑ๐ฅ
Kumbuka mabadiliko haya haimaanishi kwamba kila creator ameshaanza kulipwa ataondolewa,
HAPANA Bali YouTube imesema mabadiliko haya hayawezi kuwaathiri creators ambao tayari wako kwenye YPP.
Creators, mpo tayari kwa challenge hii? ๐๐ฅ