๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ง๐˜ƒ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ช๐—ถ๐—ณ๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Sio lazima Tena kutumia wifi moja kuweza kuunganisha simu na YouTube yako ๐Ÿ‘‹.

YouTube imetambulisha kipengele kipya kinaitwa Companion View Device inachofanya simu yako kuwa kama Second skrini ikiwa unaangalia YouTube kupitia Smart Tv.



Ukiangalia YouTube kwenye Smart TV, Companion View inakupa uwezo wa kutumia simu yako kama โ€œsecond screenโ€ โ€” bila kuvuruga video inayoendelea kwenye TV. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ



Unaweza kutafuta video nyingine, ku-like, kusoma comments, kusubscribe na hata kudhibiti unachotazama moja kwa moja kupitia simu yako. ๐Ÿš€



Kwa kifupi: TV inaonyesha, simu inakupa control. ๐Ÿ˜Ž
๐Ÿ”ฅ Teknolojia inazidi kufanya vifaa vyetu vifanye kazi pamoja kwa smart zaidi!
๐Ÿ‘‰ Ebu tuambie umeshaanza kuiona hii feature kwenye simu yako au lah tuachie maoni yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ