Youtube yafuta akaunti za R.Kelly

Youtube yafuta akaunti za R.Kelly

I Wish R. Kelly...
Ever since this money come, it's been nothing but stress
Sometimes I wish that I could just trade in my success
Y'all look at me and say, boy, you've been blessed
But y'all don't see the inside of my unhappiness

Man, I swear this shit gets heavy like a ton
That's why you hear me shootin' this real shit off like a gun
I wonder how my friends would treat me now
If I wasn't iced up with a Bentley and a house​
Duh! Kumbe

Haya mambo wanawekaga wazi mdogo mdogo kwenye kazi zao ila ni vile tu watu 'wenye akili' huwa hawafuatilii kazi zao kwa kuogopa dhambi

Fuatilia tu utakuta wengi waliojiingiza huko wakifikia point ya majuto na kukata tamaa basi wanatoa kazi za kuelezea uhalisia wa uhusika wake na illuminat mfano

Waandishi kwenye maandiko yao (vitabu)

Waigizaji kwenye maigizo (movie)

Waimbaji kwenye muziki wao (lyrics, video nk)

Wafanyabiashara

Watu maarufu,

Wataalamu mbalimbali nk

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sikubaliani na wewe kuhusu illuminati wala kitu kama hicho ofcourse mara nyingi makosa kweli mtu anayafanya kwahio sio vema kuwasingizia wengine; ingawa kufanya kwake mabaya kote haipunguzi talent yake katika kutunga na kuimba..., huu wimbo aliimba sababu ya kumbukumbu ya mama yake na wale marafiki waliopeteza maisha

The song is dedicated to his mother as well as friends and other loved ones of his who have died. This song was originally going to feature rapper 2Pac, but he died before recording his verse....

Ila nime-qoute tu hio verse kama zilivyo kazi nyingi za sanaa zinaweza kuvikwa uhalisia wowote....
 
Comments za wala kwa shemeji za kingese sana humu.. Washaharibu uzi.
 
Mkuu sikubaliani na wewe kuhusu illuminati wala kitu kama hicho ofcourse mara nyingi makosa kweli mtu anayafanya kwahio sio vema kuwasingizia wengine; ingawa kufanya kwake mabaya kote haipunguzi talent yake katika kutunga na kuimba..., huu wimbo aliimba sababu ya kumbukumbu ya mama yake na wale marafiki waliopeteza maisha

The song is dedicated to his mother as well as friends and other loved ones of his who have died. This song was originally going to feature rapper 2Pac, but he died before recording his verse....

Ila nime-qoute tu hio verse kama zilivyo kazi nyingi za sanaa zinaweza kuvikwa uhalisia wowote....
Labda alimtoa kafara mama yake kwa hiyo akajutia kwa uo wimbo, wimbo ni feelings lazima Kona jambo sio bure
 
Back
Top Bottom