YouTuber Mganda anasema kwamba Kenya iko developed kushinda Uganda

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Angalau hawa Waganda hawana unafiki wanakubali wazi kwamba Kenya ipo mbele yao. Huyu jamaa anasema kwamba hata towns ndogo ndogo kama Kitale bado zimeendelea sana. Alikuja Kenya kwa sababu ya harusi pale ambapo Mganda alimuoa Mkenya.

Even tz is more developed than Uganda
So nothing special
 
🤔

Screenshot_20220520-165430.png

Screenshot_20220519-140515.png
 
Aaah kumbe ni first time to visit Kenya sasa hizo development kaziona wapi? Mmempitisha kibera na viunga vyake?
 
Back
Top Bottom