Yoweri Museveni anatia aibu EAC

Yoweri Museveni anatia aibu EAC

Kitendo cha Rais wa Uganda kulazimisha kutawala milele kwa gharama yoyote , kinafedhehesha sana Jumuiya ya Africa Mashariki na kudhalilisha mno wananchi wa Uganda .

Ikumbukwe kwamba jambo hili la aibu linafanyika baada ya njama za Museveni za kumrithisha urais wa nchi mtoto wake wa kiume kugonga mwamba , jambo hili baya litasababisha machafuko nchini Uganda na kusababisha mzigo wa Wakimbizi kwa nchi za jumuiya .

Ni wakati sasa kwa jumuia za kimataifa kuingilia kati ili kuepusha mauaji ya kimbari .

hivi siasa za Uganda ni za Tanzania?? mbona nyie mko nabmihura miwili ya kuongoza nchi na sisi hatupingi kelele???? kila nchi na mfumo wake wakiutawala
 
Baada ya kumng'oa Mugabe tunakuja Uganda , hii ni Movement mjomba
 
Back
Top Bottom