Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Quality zipo. Mfano vitenge, khanga ya TZ ni bora kuliko ya India. Za India ni kama lesso mda nfupi zinaharibika.nimesema hakikisha kuna quantity, quality na affordable prices kabla haujaondoa mbadala kwa watu...
Jambo la muhimu ni kiwatoa watu katoka
uchuuzi waende katika uzalishaji.
Wakulima na wafugaji waache kuuza malighafi wauze bidhaa zilizosindikwa .
Uwezo wa kuzalisha quality upo hata fashion za kisasa inawezekana kabisa!
Shida kubwa ni utayari ba uoga(fear of unknown). Tunaweka hypotheses nyingi.
Ni hivi:
Weka kiwango stable cha boda boda( Flow in flow out).
Piga marufuku mitumba hasa ya nguo, vyombo vya nyumbani na umeme na uchuuuzi wote wote wa aina hio.
Piga marufuku umachinga.
Piga narufuku vishughili shughuli ambavyo havina value chain.
Imagine mama wengi wa Tanzania anataka kuwa mama ntilie, mama genge.
Kila mtu afanye uzalishaji bidhaa huduma wawe wanaokidhi soko tu .
Imagine vijana wengi wanataka wawe boda, au kibanda cha m-pesa.
Stand wamejazana watu wenye nguvu wasiofanya kazi.
Purchasing power ndogo inatokana na kudumaa sekta za uzalishaji na kujaza vijana kwenye ubangaizaji.
Ifike mda tuwe na roho ngumu tu, vinginevyo hio purchasing power ni ndoto. Na hio mitumba na vitu low quality ndio vitadumu milele.
Magufuli alusema TUTUMBUE JIPU, sio kilipuliza puliza.