Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

Waislam wakiwa wengi mahali hutamani kufanya mapinduzi
Hata hapa kwetu wanajitahidi siku Moja wafanye mapinduzi na nchi iitwe Dola la kiislam
hahaha utasikia uislam ni unyenyekevu.Sheitwani haishiwi mbinu!
 
Kwani hamna watawala wa kikristo wanaotaka kutawala milele hadi kupelekea machafuko katika kanda ile???

Are you mad???
Hao wanatumia dini kwa malengo yao ktk nchi zao tofauti na magaidi wanasapotiana dunia nzima.
 
Mkuu kuwa arabilise kulitokea wap bila waarabu kufika???
wenyeji walikua si waarabu lakin hizo nchi zilivamiwa na waarabu na kutawaliwa na hawakuondoka hadi leo
Sijui unaelewa
 
Mkuu kuwa arabilise kulitokea wap bila waarabu kufika???
wenyeji walikua si waarabu lakin hizo nchi zilivamiwa na waarabu na kutawaliwa na hawakuondoka hadi leo
Sijui unaelewa
Si Kweli, Historically waarabu wakienda sehemu na kutawala Wanaenda tu wale elites ila wananchi ni Wale wale wa eneo husika. So Raisi ama waziri akiwa mwarabu habadilishi watu vijijini kuwa waarabu biologically ila anaweza akawabadilisha ki culture. Waarabu ni wachache mno, nchi nyingi za kiarabu unakuta watu hata milioni 5 hawafikii, ngumu kwenda sehemu Na kubadili Ethnicity za watu.

Tuna Sayansi siku hizi vipimo Vya Dna vinaonesha ukweli wote, Sudan Dna ya kiarabu haifiki hata 20% same to Egpty. Hao ni wa Nubia ambao wamekua arabized that's it.
 
Kama unadhan hiyo 17% ni ndogo iweke katika actual number!
Hii ni aina ya watu wanaounda Egypt
 
Attachments

  • 9AAD4802-D3D3-45E7-B1A4-94AA32169A5E.jpeg
    25 KB · Views: 1
Kama unadhan hiyo 17% ni ndogo iweke katika actual number!
Hii ni aina ya watu wanaounda Egypt
Sio 17% ni waarabu bali 17% ya damu yako ni ya kiarabu, leo ukienda kwa mrangi, Mnyaturu, muiraq etc utakuta damu ya Ki Asia ila wale sio waarabu, mtu yoyote unayemuona mtaani maji ya kunde ukienda kumpima atakua na Dna ya kiarabu, kihindi, kijerumani, uingereza etc unakuta babu wa babu yake generation hata 20 zilizopita alikua mweupe.

Sasa hao Egpty wamepakana kabisa na nchi za kiarabu ila ndio 17% Sudan hawafiki hio.

So mataifa yote hayo sio ya kiarabu bali Wamekua tu arabized.
 
Msudani unamkuta ni mwafrika mweusi alafu anajiita mwarabu
Ni afadhali unapokutana na wamisri wanajisikia kama waafrika, lakini wasudan na watunisia ni watu wa ajabu sana dhidi ya waafrika.

Watunisia wao hujiita ni wa-Mediterranean siyo waafrika.
 
Ni afadhali unapokutana na wamisri wanajisikia kama waafrika, lakini wasudan na watunisia ni watu wa ajabu sana dhidi ya waafrika.
Sidhani, wamisri niliokutana nao wengi wanasema wao sio WAAFRIKA. Wanasema Afrika walihamia, lakini wao sio waafrika.
 
Sidhani, wamisri niliokutana nao wengi wanasema wao sio WAAFRIKA. Wanasema Afrika walihamia, lakini wao sio waafrika.
Unayosema inaweza kuwa kweli kwani kihistoria waliwahi kulalamika kuwa Cleopatra hakuwa mweusi. Lakini wengi wao wanakubali bila ubaguzi kuwa wao ni sehemu ya Afrika ya leo. Hata wasudani wa kuşini walikuwa wanajisikia salama kukimbilia Cairo kuliko Khartoum.
 
Nimesema mara nyingi mno, huwezi kuitenga Dini ya kiislamu na shetani,ndo maana kukuta mwislamu kichwani yupo vizuri basi ni muujiza
 
Nimesema mara nyingi mno, huwezi kuitenga Dini ya kiislamu na shetani,ndo maana kukuta mwislamu kichwani yupo vizuri basi ni muujiza
Sasa kama hawapo vizuri kichwani iweje kila wanapenda wanafanikiwa sana? Africa nzima karibia nchi zote zenye mafanikio ni zao. Huko Ulaya majiji makubwa mengi wao wamo na hela zao zina run majiji, nchi chache sana zenye Natural resource zimefanikiwa na karibia zote ni zao, maybe ni chuki zako tu ila wapo vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…