Mimi binafsi sipingi watu kufungia au kupewa Ban, ila ninachokitaka ni kujua tu, makosa yapi yanaendana na adhabu ipi, basi ni ilo tu.
Ni kweli wachangiaji wengi sana wana kejeri na matusi ya wazi wazi... JF imeshakomaa kiasi cha kukutana na kila aina ya tabia za wachangiaji... Ni wakati sasa umefika kuainisha zile sheria zilizowekwa kuwa ukizivunja basi adhabu yake ni ipi, na kwa wale wenye kurudia makosa nao adhabu yako ni kiwango gani cha makos wanapaswa kuadhibiwaa...!Hilo bila shaka watalifanyia kazi na kuweka hadharani.,Lakini yapasa kila mmoja wetu ajue kuwa kuna watu ambao wana tabia persistent za kejeli na kurudia makosa...Hivyo pamoja na orodha ya adhabu, mods smtmz wanatumia zaidi BUSARA.
Mkuu, nini kilitokea kwenye lile jukwaa lako maana nimeona msg nyingi zilifutwa na wengine kula ban mfano: PakaJimmy,mlachake,Rev Masanilo,Uwiano Maalum,VoiceOfReason,Lady NKiongozi X-Paster,
Mimi ninadhan mods wanaona vizuri zaid behavior zetu kuliko sisi kwa sisi tunavyojuana...Pia hisia zangu zingine zinasema wao ni watu wazima na pamoja na kuwepo adhabu za defaulters, cha maana zaidi ni BUSARA.
Ahsante.
Palipo na haki basi iwepo haki, na si kutegemea busara za mtu fulani, kwani hizi busara wakati wote zinatofautiana kutoka mtu na mtu...! Jambo ambalo wewe unadhani ni la busara kwa mwingine ni kinyume chake...! Nasisitiza tena na tena, ili kuondoa malalamiko, zile sheria ziambatanishwe na adhabu zake na si kutegemea busara za mtu fulani, kwa kuwa tu yeye ni Moderator.Kiongozi X-Paster,
Mimi ninadhan mods wanaona vizuri zaid behavior zetu kuliko sisi kwa sisi tunavyojuana...Pia hisia zangu zingine zinasema wao ni watu wazima na pamoja na kuwepo adhabu za defaulters, cha maana zaidi ni BUSARA.
Ahsante.
Mbona una kihere here sana?Sababu:
Kuandika hadharani kuwa anadhani mmoja wa Mods(jina lipo) ameaga dunia!
Duration:6months
Gotta go and hang yoo sef.....I'm back 4shizzleI just simulate if suppose, he said PJ has kicked the bucket...:Cry::Cry:....thats too chilling men!...
mkuu kumbe hata wewe umeliona hilo, mimi namshangaa huyu invisible kuwapiga ban watu wanao onekana kuipinga CDM au kutetea uislam au wanao onekana kuiunga mkono CCM. ukiuliza sababu eti wanaharibu mijadala kwani JF ni mali ya nani? kama ni mali ya wanajamii wote basi sheria ichukue mkondo wake kwa kila mwana JF aliye wahi kukashifu au kuleta chokochoko dhidi ya dini nyingine, na ban zao zitangazwe hapa. nilishangaa sana jana tu kuna mtu katuma picha chafu lakini hawakutangaza kama wamepiga ban!Sasa si angeambiwa tu kuwa si kweli!
Mi huwa nashangaa sdana humu JF. Sometimes, watu humu huwa wanaandika vitu ambavyo havina uthibitisho na kubandika mapicha ya uchi kwenye majukwaa ambayo hata watoto wanayapitia lakini hatuoni kupewa Ban.
mkuu mods wame admit walikosea sikupashwa kupewa ban....pakajimmy kasepa kwa aibu..Yo Yo
JF Senior Expert Member
Last Activity
Today 02:47 PM
Miezi sita ya JF Bana