Yoyo banned again!

Yoyo banned again!

Mimi binafsi sipingi watu kufungia au kupewa Ban, ila ninachokitaka ni kujua tu, makosa yapi yanaendana na adhabu ipi, basi ni ilo tu.

Hilo bila shaka watalifanyia kazi na kuweka hadharani.,Lakini yapasa kila mmoja wetu ajue kuwa kuna watu ambao wana tabia persistent za kejeli na kurudia makosa...Hivyo pamoja na orodha ya adhabu, mods smtmz wanatumia zaidi BUSARA.
 
Wacheni mamod wafanye kazi zao bana. Mna abuse uhuru mliopewa alafu malalamishi ndio mengi. Ukikosa omba msamaha na huo ndio uungwana. Si kujitetea wakati umekosa na kila mmoja anajua umekosa.
Jamaa huyu ni mtu safi lakini mara ingine siku hizi anajisahau. Alikuwa kifungoni siku chache zilizopita, sasa kama kakosa si afanye apology tu? inamgharimu nini?
 
Hilo bila shaka watalifanyia kazi na kuweka hadharani.,Lakini yapasa kila mmoja wetu ajue kuwa kuna watu ambao wana tabia persistent za kejeli na kurudia makosa...Hivyo pamoja na orodha ya adhabu, mods smtmz wanatumia zaidi BUSARA.
Ni kweli wachangiaji wengi sana wana kejeri na matusi ya wazi wazi... JF imeshakomaa kiasi cha kukutana na kila aina ya tabia za wachangiaji... Ni wakati sasa umefika kuainisha zile sheria zilizowekwa kuwa ukizivunja basi adhabu yake ni ipi, na kwa wale wenye kurudia makosa nao adhabu yako ni kiwango gani cha makos wanapaswa kuadhibiwaa...!

Sababu ya kusema hivi ni kutaka sheria za JF kuwa wazi kwa kila mwanachama. Mimi naweza kufanya kosa fulani matokeo yake ni kafungiwa lets say wiki moja...! Lakini ikatokea mtu mwingine akafanya kosa ilo ilo linalolingana na nililo lifanya mimi aidha akafungiwa mwezi mmoja au siku tatu...! Sasa kwa mtindo huu, Mods watakuwa hawajatenda haki...!

Ndio maana mimi nasisitiza kuwa zile sheria za JF zilizopo basi ziambatanishwe na adhabu zake kama ikitokea mtu amevunja baadhi ya hizo sheria na si kukurupuka tu kumfungia mtu vile Mods wanavyo ona wao.

Au mkuu wewe unasemaje katika ili?
 
Kiongozi X-Paster,
Mimi ninadhan mods wanaona vizuri zaid behavior zetu kuliko sisi kwa sisi tunavyojuana...Pia hisia zangu zingine zinasema wao ni watu wazima na pamoja na kuwepo adhabu za defaulters, cha maana zaidi ni BUSARA.
Ahsante.
 
Kiongozi X-Paster,
Mimi ninadhan mods wanaona vizuri zaid behavior zetu kuliko sisi kwa sisi tunavyojuana...Pia hisia zangu zingine zinasema wao ni watu wazima na pamoja na kuwepo adhabu za defaulters, cha maana zaidi ni BUSARA.
Ahsante.
Mkuu, nini kilitokea kwenye lile jukwaa lako maana nimeona msg nyingi zilifutwa na wengine kula ban mfano: PakaJimmy,mlachake,Rev Masanilo,Uwiano Maalum,VoiceOfReason,Lady N
 
Kiongozi X-Paster,
Mimi ninadhan mods wanaona vizuri zaid behavior zetu kuliko sisi kwa sisi tunavyojuana...Pia hisia zangu zingine zinasema wao ni watu wazima na pamoja na kuwepo adhabu za defaulters, cha maana zaidi ni BUSARA.
Ahsante.
Palipo na haki basi iwepo haki, na si kutegemea busara za mtu fulani, kwani hizi busara wakati wote zinatofautiana kutoka mtu na mtu...! Jambo ambalo wewe unadhani ni la busara kwa mwingine ni kinyume chake...! Nasisitiza tena na tena, ili kuondoa malalamiko, zile sheria ziambatanishwe na adhabu zake na si kutegemea busara za mtu fulani, kwa kuwa tu yeye ni Moderator.

Kwani kiinacho shindikana ni kipi!?
 
Yo Yo
user-online.png

JF Senior Expert Member
Last Activity
Today 02:47 PM
avatar10874_4.gif


Miezi sita ya JF Bana
 
Sasa si angeambiwa tu kuwa si kweli!

Mi huwa nashangaa sdana humu JF. Sometimes, watu humu huwa wanaandika vitu ambavyo havina uthibitisho na kubandika mapicha ya uchi kwenye majukwaa ambayo hata watoto wanayapitia lakini hatuoni kupewa Ban.
mkuu kumbe hata wewe umeliona hilo, mimi namshangaa huyu invisible kuwapiga ban watu wanao onekana kuipinga CDM au kutetea uislam au wanao onekana kuiunga mkono CCM. ukiuliza sababu eti wanaharibu mijadala kwani JF ni mali ya nani? kama ni mali ya wanajamii wote basi sheria ichukue mkondo wake kwa kila mwana JF aliye wahi kukashifu au kuleta chokochoko dhidi ya dini nyingine, na ban zao zitangazwe hapa. nilishangaa sana jana tu kuna mtu katuma picha chafu lakini hawakutangaza kama wamepiga ban!
sasa sijui ni vigezo vipi vya kimaadili mnavyotumia?
Ni mtazamo wangu tu invisible na mods msijenge chuki.
 
Yo Yo
user-online.png

JF Senior Expert Member
Last Activity
Today 02:47 PM
avatar10874_4.gif


Miezi sita ya JF Bana
mkuu mods wame admit walikosea sikupashwa kupewa ban....pakajimmy kasepa kwa aibu..
 
Back
Top Bottom