PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
- Thread starter
- #21
Mimi binafsi sipingi watu kufungia au kupewa Ban, ila ninachokitaka ni kujua tu, makosa yapi yanaendana na adhabu ipi, basi ni ilo tu.
Hilo bila shaka watalifanyia kazi na kuweka hadharani.,Lakini yapasa kila mmoja wetu ajue kuwa kuna watu ambao wana tabia persistent za kejeli na kurudia makosa...Hivyo pamoja na orodha ya adhabu, mods smtmz wanatumia zaidi BUSARA.