Yoyote anayejaribu kuiyumbisha CCM ni msaliti wa Taifa

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana.
Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania.

Tunao wajibu wa kuilinda CCM kwa nguvu zote pale inapokuja suala la kutaka kumbagaza Mwenyekiti ,Wajumbe wakongwe ,wazee wa chama n.k.

Wewe unayeenda mbele ya media kutaka kuikosoa CCM huna jina jingine zaidi ya mhaini dhidi ya CCM ,Serikali ya CCM na mama Tanzania.

Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM bali aliwahi kuwakosoa wanaCCM
 
Kama kutoka nje ya vikao vya chama na kukosa ni kusaliti,

Basi Hayati Nyerere ni number one.

Kubalini yaishe, mlifanya uhuni kujipitisha kinyume na taratibu na kanuni za chama.
 
Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana.
Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania.
Tunao wajibu wa kuilinda CCM kwa nguvu zote pale inapokuja suala la kutaka kumbagaza Mwenyekiti ,Wajumbe wakongwe ,wazee wa chama n.k.
wewe unayeenda mbele ya media kutaka kuikosoa CCM huna jina jingine zaidi ya mhaini dhidi ya CCM ,Serikali ya CCM na mama Tanzania.
Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM bali aliwahi kuwakosoa wanaCCM
Neno CCM halimo kwenye katiba.
 
Kwanini mnatia nguvu sana kufanya chama Chenu kionekane ni bora kuliko vingine, sio kwamba kibaya chajitembeza na kizuri cha jiuza
 
Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania.
Ccm gani, hiyo hiyo ya majizi ya kila kitu au?

Uzalendo wa kweli ni kwa nchi, siyo kwa kikundi cha watu au chama fulani.

View: https://youtube.com/shorts/YSpHRZvidVA?si=tMp3adg7A0AoHYUC

Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM bali aliwahi kuwakosoa wanaCCM
Nyerere aliwahi kusema:
"ccm siyo mama yangu",
na kwamba angeweza kuachana nayo sababu ya uovu wake.

Pia aliwahi kuunga mkono na kumpigia kampeni mgombea wa upinzani kwa kuwa ccm iliweka mgombea asiyetakiwa na wananchi ..

View: https://youtube.com/shorts/HogKfwbHpAQ?si=UsteidC8scrbTZGu
 
Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana.
Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania.
Tunao wajibu wa kuilinda CCM kwa nguvu zote pale inapokuja suala la kutaka kumbagaza Mwenyekiti ,Wajumbe wakongwe ,wazee wa chama n.k.
wewe unayeenda mbele ya media kutaka kuikosoa CCM huna jina jingine zaidi ya mhaini dhidi ya CCM ,Serikali ya CCM na mama Tanzania.
Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM bali aliwahi kuwakosoa wanaCCM
Ignorant par excellence! Unawezaje kuilinda CCM bila kuilinda Katiba yake kwanza?
 
Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana.
Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania.

Tunao wajibu wa kuilinda CCM kwa nguvu zote pale inapokuja suala la kutaka kumbagaza Mwenyekiti ,Wajumbe wakongwe ,wazee wa chama n.k.

Wewe unayeenda mbele ya media kutaka kuikosoa CCM huna jina jingine zaidi ya mhaini dhidi ya CCM ,Serikali ya CCM na mama Tanzania.

Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM bali aliwahi kuwakosoa wanaCCM
Kabisa
 
Hujui kitu.
Nyerere aliwahi kusema "CCM inanuka rushwa", "Ccm si mama yangu", "Ccm ni kama kokoro" nk nk. Labda wewe ulikuwa hujazaliwa.

Kama kulikuwa na kiongozi amewahi kuisema Ccm akiwa madarakani na hata baada ya kustaafu, basi ni Mwl Nyerere.

Ccm lazima ikosolewe bila hivyo inatujazia mamiunguwatu wasiotaka kukosolewa.
 
Watu wanaiba bilioni kadhaa TENA KWENYE nchi maskini AMBAYO WATU wake hata uhakika WA chakula TU ni NGUMU BADO waliovujisha wanaitwa SI wazalendo ........

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Hujui kitu.
Nyerere aliwahi kusema "CCM inanuka rushwa", "Ccm si mama yangu", "Ccm ni kama kokoro" nk nk. Labda wewe ulikuwa hujazaliwa.

Kama kulikuwa na kiongozi amewahi kuisema Ccm akiwa madarakani na hata baada ya kustaafu, basi ni Mwl Nyerere.

Ccm lazima ikosolewe bila hivyo inatujazia mamiunguwatu wasiotaka kukosolewa.
Unayo hiyo clip?
 
Yule mzee wa kichaga aliyekosoa akiwa ndani mbona mlimfukuza uwanachama?
 
Kukemea chama kinachobariki utekaji,mauaji , wizi wa kura, ufisadi, uvunjifu wa katiba ni zaidi ya uzalendo.
 
SAWA chawa KAMWAMBIE boss wamekuelewa mkuu akupe CHOCHOTE ukapozee njaa

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Back
Top Bottom