Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,559
- 4,255
Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana.
Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania.
Tunao wajibu wa kuilinda CCM kwa nguvu zote pale inapokuja suala la kutaka kumbagaza Mwenyekiti ,Wajumbe wakongwe ,wazee wa chama n.k.
Wewe unayeenda mbele ya media kutaka kuikosoa CCM huna jina jingine zaidi ya mhaini dhidi ya CCM ,Serikali ya CCM na mama Tanzania.
Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM bali aliwahi kuwakosoa wanaCCM
CCM mnayumbishana wenyewe sababu ya kutoka kwenye mstari. Chama kimejaa watafuta fursa wengi, kuliko wapigania uzalendo. Na wengi wanaficha makucha kwa kigezo ni wazalendo.
Na haya yanayotokea ni uthibitisho. Msisingizie watu wengine