Mafwele anaanza kuchukua chati ya Maliyamungu yule wa I'd Amin Dada.Labda Mafwele kapita naye
huenda kisomo kinafanya kazi šUmepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa chadema ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa.
Baada ya hapo hatujaarifiwa nini kimeendelea baina yake na jeshi la polisi ambalo lilikuwa likimrafuta mpaka kupiga kambi kanisani
Lakini pia sisi wafuasi wa chadema tunahitaji kufahamu kiongozi wetu yuko wapi, anahali gani na kwanini yupo kimya
Asante
Sasa atasali mpaka lini?Bado anasali
Umepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa chadema ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa.
Baada ya hapo hatujaarifiwa nini kimeendelea baina yake na jeshi la polisi ambalo lilikuwa likimrafuta mpaka kupiga kambi kanisani
Lakini pia sisi wafuasi wa chadema tunahitaji kufahamu kiongozi wetu yuko wapi, anahali gani na kwanini yupo kimya
Asante
Mzee Mbowe anamwamini Mrema kuliko huyu katibu mkuu.Hamuoni matamko yote ya kiutendaji ndani ya chama yanatolewa na huyu MangiUmepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa chadema ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa.
Baada ya hapo hatujaarifiwa nini kimeendelea baina yake na jeshi la polisi ambalo lilikuwa likimrafuta mpaka kupiga kambi kanisani
Lakini pia sisi wafuasi wa chadema tunahitaji kufahamu kiongozi wetu yuko wapi, anahali gani na kwanini yupo kimya
Asante
"Kesheni mkisali Maana hamjui siku wala saa atakayokuja mwana wa Adam."Sasa atasali mpaka lini?
Mbona hujatekwa mkuu?Utawala wa mama umekuwa wa hovyo sana.utekaji umekithiri sana kuliko Nchi yeyote duniani
Ibada haina mwisho.Sasa atasali mpaka lini?