Yu wapi Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika?

Yu wapi Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika?

Yupo kwenye mafunzo ya daraja la Ukatukumeni pale hosteli za mapadri
 
Matunda yameonekana wasiojulikana watakuwa wazi na SSH Hague inamngojea! Safari ya mahakamani london ilikuwa leo!
 
Umepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa CHADEMA ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa.

Baada ya hapo hatujaarifiwa nini kimeendelea baina yake na jeshi la polisi ambalo lilikuwa likimrafuta mpaka kupiga kambi kanisani.

Lakini pia sisi wafuasi wa CHADEMA tunahitaji kufahamu kiongozi wetu yuko wapi, anahali gani na kwanini yupo kimya.

Asante

Soma Pia: Kanisa Katoliki arokia ya Msimbazi Centre lazingirwa na Polisi ili kumkamata John Mnyika
atakuwa bado anapiga maombi pale church.
 
Back
Top Bottom