Yu wapi Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika?

Umeandika ukiwa usingizini boss, amka
 
Acha ukabila wewe shetani, hao wachaga wa CRDB walikuwa hawana sifa za kuajiriwa au walikuwa nazo?
Crdb kiuhalisia watakuwa wanazo sifa ila kwa wale walioko pale kwenye SACCOS ni a very big no (kuna tatizo kubwa)
 
Mzee Mbowe anamwamini Mrema kuliko huyu katibu mkuu.Hamuoni matamko yote ya kiutendaji ndani ya chama yanatolewa na huyu Mangi
Mungu hamnyimi mja wake ubongo bali ni jinsi gani aliyepewa ataamua kuutumia.
Hujui hata kutumia matumizi ya ubongo uliopewa bure? Si bora ungekuwa ng'ombe au kitimoto watu wale nyama choma? Hujui majukumu ya Mrema ndani ya chama mpaka ushangae kwa nini matamko anayatoa yeye kwa niaba ya chama?
Kwa nini wanaccm wengi ni zero brain? Hamjishughulishi kujifunza, pole sikukusudia kukushambulia ila kukusaidia.
 
Mangi tulia sindano ikochome,Mrema ndi de factor katibu mkuu wa CDM ,acheni kujitetea hapa.
 
=iliripotiwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mnyika kujificha kanisani bila shaka ni guilty consciousness kuna kitu kinamsumbua rohoni ndio maana akaona ashinde kanisani kutubu madhambi yake kwa muda mrefu
 
Sidhani kama naweza kuwa sawa na hawa waliofeli elimu ya sekondari na hawakujiendeleza;Mzee Mbowe,Lema ,Sugu na Wenje (ila hiki chama aisee)
Sasa kama ulifaulu na akili ni nzito kiasi hicho kama chura kiziwi. Je, ungefeli hali ingekuwaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…