sinyora
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 970
- 1,638
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umenichekesha sana mkuuDuh! yale macho ukichanganya na poda si yanaweza dondoka kabisa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umenichekesha sana mkuuDuh! yale macho ukichanganya na poda si yanaweza dondoka kabisa!!!!
unamzungumiza maunda wa sekondari!Guys nimesoma na Maunda ktk Level ya secondary- kongowe mbagala, shule ya Dsm Christian Seminary
Kwa sasa Maunda ameolewa na yupo ktk ndoa yake
Anaishi Kurasini
So ndoa ina mambo mengi hatuwezijua anavyojipanga kurudi ktk tasnia ya music japo kwa sasa ni mama kijacho!
maana tatizo la watanzania ni poda tu nonesense ngada starehe ya mtu mbona kaka ake zinamtosha?ebu acheni kiki .PODA NI KITU KIBAYA SANA.SIJUI BASHITE MNACHUKIA KWASABABU GANI...HAIHITAJI CHETI KUPINGA NGADA..
dogo yuko hoi kwa brown suga
Ndio hapo kapotea mazima.....dah nimemiss sana huyu mdada kwenye muziki,
mara ya mwisho nakumbuka alitandikwa mimba.
De blezoo blaze kingNzela alipewa mimba
Hapo sina uhakika....na mazuri.
...yani avi ya kibabe halafu umesoma shule ya kindezi kishenzi!Guys nimesoma na Maunda ktk Level ya secondary- kongowe mbagala, shule ya Dsm Christian Seminary
Kwa sasa Maunda ameolewa na yupo ktk ndoa yake
Anaishi Kurasini
So ndoa ina mambo mengi hatuwezijua anavyojipanga kurudi ktk tasnia ya music japo kwa sasa ni mama kijacho!
...yani avi ya kibabe halafu umesoma shule ya kindezi kishenzi!
..utakuwa kilaza tu,
.vipi na wewe huli ngada?