Yu wapi Maunda Zoro?

Yu wapi Maunda Zoro?

Daah sijui yuko wapi, ana macho mazuri sana
 
Guys nimesoma na Maunda ktk Level ya secondary- kongowe mbagala, shule ya Dsm Christian Seminary

Kwa sasa Maunda ameolewa na yupo ktk ndoa yake
Anaishi Kurasini

So ndoa ina mambo mengi hatuwezijua anavyojipanga kurudi ktk tasnia ya music japo kwa sasa ni mama kijacho!
unamzungumiza maunda wa sekondari!
mwenzio anajikuna tu huko aliko!
 
Mkuu huyo Vumilia nimetoka kusikiliza ngoma yake ya "utanikumbuka"sio mida anajua sana huyo binti nae kapotea sana.
Alidanganywa na kuimba kwa live band,hakujua live band ni kwa ajili ya show tu, singo lazima ziendelee kutoka.
 
PODA NI KITU KIBAYA SANA.SIJUI BASHITE MNACHUKIA KWASABABU GANI...HAIHITAJI CHETI KUPINGA NGADA..
dogo yuko hoi kwa brown suga
maana tatizo la watanzania ni poda tu nonesense ngada starehe ya mtu mbona kaka ake zinamtosha?ebu acheni kiki .
 
Maunda yupo Facebook na Instagram....Humu sina uhakika kama yumo.
 
Guys nimesoma na Maunda ktk Level ya secondary- kongowe mbagala, shule ya Dsm Christian Seminary

Kwa sasa Maunda ameolewa na yupo ktk ndoa yake
Anaishi Kurasini

So ndoa ina mambo mengi hatuwezijua anavyojipanga kurudi ktk tasnia ya music japo kwa sasa ni mama kijacho!
...yani avi ya kibabe halafu umesoma shule ya kindezi kishenzi!
..utakuwa kilaza tu,
.vipi na wewe huli ngada?
 
Huyu dada wimbo wake wa niwe wako mpaka leo unaniburudisha
 
Back
Top Bottom