white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,321
- 2,488
.dah nimemiss sana huyu mdada kwenye muziki,
mara ya mwisho nakumbuka alitandikwa mimba.
Nimemuoa mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.dah nimemiss sana huyu mdada kwenye muziki,
mara ya mwisho nakumbuka alitandikwa mimba.
Nimemuoa mimi
Teh teh teh nilijua utaanzisha ligi,badala yake umechukulia poa sana kama ishu ya Magu na Ney na wapo yake.
Na upenda huo wimbo naupate jiran
aliyezaa naye ndo amemuoa au?Guys nimesoma na Maunda ktk Level ya secondary- kongowe mbagala, shule ya Dsm Christian Seminary
Kwa sasa Maunda ameolewa na yupo ktk ndoa yake
Anaishi Kurasini
So ndoa ina mambo mengi hatuwezijua anavyojipanga kurudi ktk tasnia ya music japo kwa sasa ni mama kijacho!
Vumi nae sjui kapotea wapi.nlikuwa nampenda sana,hivi hakuwa THT kweli?.Mkuu huyo Vumilia nimetoka kusikiliza ngoma yake ya "utanikumbuka"sio mida anajua sana huyo binti nae kapotea sana.
Ingekuwa tatizo bange basi hata bob marley asingekuwa legend,kwa taarifa yaki wasabii wasiovuta mibange ni wachache sana na hata hao ukisikiliza nyimbo zao utagundua kuna rythm flani haipo.Hiivi Bangi Kaacha Kutumia?
Acha ubishi wa kizazi cha.....Pearsonmkuu una uhakika gani...na hayo unayozungumza?
Hahahaha weee jamaa unappiga madongo,...yani avi ya kibabe halafu umesoma shule ya kindezi kishenzi!
..utakuwa kilaza tu,
.vipi na wewe huli ngada?
Wamepotea hata traces zao hazijulikaniYuko wap bushoke