Yu wapi Maunda Zoro?

Yu wapi Maunda Zoro?

Kumbe lile shoga lenye jicho la kungu ni mdogo wake Maunda
 
Guys nimesoma na Maunda ktk Level ya secondary- kongowe mbagala, shule ya Dsm Christian Seminary

Kwa sasa Maunda ameolewa na yupo ktk ndoa yake
Anaishi Kurasini

So ndoa ina mambo mengi hatuwezijua anavyojipanga kurudi ktk tasnia ya music japo kwa sasa ni mama kijacho!
aliyezaa naye ndo amemuoa au?
 
Hivi lile shoga maarufu lenye mijicho mikubwa na pua kama la chidmapenzi ,ni ndugu yake Maunda?
 
Back
Top Bottom