Yu wapi Waziri mchapakazi bwana Makonda?

Yeye na PM ake wamepigwa Stop
 
Ngoja msaidizi wa mwenyekiiti wa vijana UVCCM ndugu Tlaatlaah atakuwa na majibu kamili maana yupo kwenye kamati ya AFCON huwa wanaonana sana kwenye vikao
 
DAB hana ishu, ni kijana asiye na adabu
 
Hukumuona unguja kwenye mechi ya ngao ya hisani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…