Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu.
Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku wakimsifu kwa nyimbo na mapambio.
Mwenye historia ya Yuda Iskariote a.k.a chuma atuwekee hapa wapendwa.